tejateja JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 1,626 Reaction score 979 Jun 22, 2015 #1 Habari zenu watanzania wenzangu. Kwa wale wanaopenda kupunguza ama kuongeza uzito. Ili kuwa na muonekano unao vutia na kuwa na afya njema. Nina habari njema sana, nipigie 0716548250.
Habari zenu watanzania wenzangu. Kwa wale wanaopenda kupunguza ama kuongeza uzito. Ili kuwa na muonekano unao vutia na kuwa na afya njema. Nina habari njema sana, nipigie 0716548250.
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 4,983 Reaction score 3,789 Jun 22, 2015 #2 Ni bora kwanza ukaandika hapa tiba yako ilivyo japo kwa kifupi.
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 10,544 Reaction score 15,244 Jun 22, 2015 #3 Mbona chumbani tena, weka mambo sebulen,watu wajichagulie ubonge au kimbaumbau
Swiper JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 444 Reaction score 169 Jun 22, 2015 #4 we ndo unataka kufanya nini vilee??
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,866 Reaction score 6,616 Jun 22, 2015 #5 Kupunguza uzito ni sawa,waweza kuwa na formula nzuri tu ya chakula na mazoezi Hapo kwenye kuongeza sasa sijui utakuwa na altenative gani...Naomba kabla sijakufuata chemba uweke hapa kwa muhtasari naweza kuwa mteja wako
Kupunguza uzito ni sawa,waweza kuwa na formula nzuri tu ya chakula na mazoezi Hapo kwenye kuongeza sasa sijui utakuwa na altenative gani...Naomba kabla sijakufuata chemba uweke hapa kwa muhtasari naweza kuwa mteja wako