M mwl JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,101 Reaction score 913 Jun 5, 2011 #1 Sisimizi wawili walikutana na punda wakamwambia tupigane mieleka, punda akawajibu: hivi mnaona mimi mjinga sana, nyinyi wawili mimi mmoja si mtanichangia, kama mnataka tupigane mmoja mmoja.
Sisimizi wawili walikutana na punda wakamwambia tupigane mieleka, punda akawajibu: hivi mnaona mimi mjinga sana, nyinyi wawili mimi mmoja si mtanichangia, kama mnataka tupigane mmoja mmoja.
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,950 Reaction score 2,480 Jun 5, 2011 #2 punda iko janja sana. Najua mbili taumiza yeye.
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 637 Jun 6, 2011 #3 He he he