"Punda afe mzigo ufike " mzee kasema !

"Punda afe mzigo ufike " mzee kasema !

Dampa

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
810
Reaction score
1,265
Ni msemo ambao unaendelea kutesa 'punda" wengi mjini pasipo gavoo kuelewa cz mchezo unachezwa kisiri sana na wachache wajuao but once goli limefungwa utaona sasa watu haaa kila mwenyew ananga'a macho tu bila kuelewa ...
Mazee wanasema what the hell iz goin'on meeen....!
Nb
Jaman tupige kazi
Be boss of ur own damn mind in this earth usipende vitu za "all bills paid"
Asiejua maana hambiwi maana
.

Anyway
r.I.p Ngwear.
r.I.p Agg G 'Masogawise' only ur 'lords' know

.Reff. Shunie/nyemochilongani/Michirizi Ya damu/Fareed&Bellack.
 
Nachojua Mimi ukijiingiza kwenye hizi biashara za madawa ya kulevya, huwezi kusalimika uhai wako!!

Aidha utakufa kwa sababu ya madhara ya madawa

Au watakuua hao mabosi wako wakihofia kuumbuka!!

Tumejaaliwa ardhi yenye rutuba, amani na mvua za masika zipo/maji, hebu tupigeni kilimo vijana, tuacheni tamaa!!

Nb: sihusishi kifo cha huyu mwanadada na madawa ya kulevya!
 
Ni msemo ambao unaendelea kutesa 'punda" wengi mjini pasipo gavoo kuelewa cz mchezo unachezwa kisiri sana na wachache wajuao but once goli limefungwa utaona sasa watu haaa kila mwenyew ananga'a macho tu bila kuelewa ...
Mazee wanasema what the hell iz goin'on meeen....!
Nb
Jaman tupige kazi
Be boss of ur own damn mind in this earth usipende vitu za "all bills paid"
Asiejua maana hambiwi maana
.

Anyway
r.I.p Ngwear.
r.I.p Agg G 'Masogawise' only ur 'lords' know

.Reff. Shunie/nyemochilongani/Michirizi Ya damu/Fareed&Bellack.
Mkuu wangu,ni kwa nini unaandika ukiwa unabugia mvinyo wa bei kali?
 
Wakati mwingine Punda anakufa na mzigo unaozea njiani. This game has no rules..
 
R. I. P
IMG-20180421-WA0012.jpg
 
Hii business sio,unakula raha lakini za muda mfupi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom