donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
WelcomeAm gonna drop it like it's hot!
SiwaoniiiYea kama kawa ngoja wajeeee
GoodWengi wana andika /Nikiandika wanatoka nduki kama Dr mwaka
Ivon chaka chaka /nakimbiza hawa paka rapers kibabe mpaka macca
Nimejikita kisawa sawa /flows nyoko zinamkoboa mpaka cheusi dawa
Usisubr nianguke ww nifuate bro/ichi kina kirefu utaloose control
Wambie rizik mafungu saba /wakifunga kwa hirizi mm nafungua kwa msalaba
Pamoja sanaa jf
English please?Wengi wana andika /Nikiandika wanatoka nduki kama Dr mwaka
Ivon chaka chaka /nakimbiza hawa paka rapers kibabe mpaka macca
Nimejikita kisawa sawa /flows nyoko zinamkoboa mpaka cheusi dawa
Usisubr nianguke ww nifuate bro/ichi kina kirefu utaloose control
Wambie rizik mafungu saba /wakifunga kwa hirizi mm nafungua kwa msalaba
Pamoja sanaa jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we andika mkuu English sio lugha yetu banaa andika lugha unayoiwezaEnglish please?
Chlorine gas smells like a rotten egg, Niko stimu na sijagusa hata tequila peg, am so natural em niggers lab made, am no smith but u can call me lil jade, one man down, alpha one d'u copy? Nimekomaa kwenye rhymes since era za floppyWengi wana andika /Nikiandika wanatoka nduki kama Dr mwaka
Ivon chaka chaka /nakimbiza hawa paka rapers kibabe mpaka macca
Nimejikita kisawa sawa /flows nyoko zinamkoboa mpaka cheusi dawa
Usisubr nianguke ww nifuate bro/ichi kina kirefu utaloose control
Wambie rizik mafungu saba /wakifunga kwa hirizi mm nafungua kwa msalaba
Pamoja sanaa jf
Emancipate yourself from mental slavery, suicide in the booth I possess bravery,U better go back to school @donclucches /chlorine gas is tasteless
When you smell me unapata headache/na flues kudadekii
Nawaficha ka kitambaa cha kamasi / shika peni na karatasi
Nikurudishe kwa darasa/flows zako zipigwe msasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nouma sana mzaziSina role ila modal,natinga kama kawa /cna mikogo,na mademu wa vgogo nawameza kama dawa
[emoji23] [emoji23] ni kwi kwi aseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nouma sana mzazi
mnakaa mnawaza vitu anasa/Sina role ila modal,natinga kama kawa /cna mikogo,na mademu wa vgogo nawameza kama dawa