Pumzika kwa salama Captain..............

Dah! Yaani jamaa angekuwepo hai mpaka sasa najua angeshakuwa msituni tayar, maana asingekubali Lowasa kukatwa na ccm lazma angeingia msituni
 
ameshatimiza mwaka kati ya watu waliovuma kwa muda mrfu na kusahaulika kwa muda mfupi
 
Jamani Lulu, sijui atamuua nani tena this time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…