mpare wa milimani
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 293
- 300
Habari za muda huu wapendwa,naomba mnisaidie kujua dawa za pumu kwa mtoto anamiaka7.
AsanteNjema kabisa, ni vema ukamuona daktari afanye uchunguzi kwanza ili kukushauri dawa sahihi na kiwango pia