Psrs interview

Psrs interview

Jmo

Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
17
Reaction score
2
Habari zenu wana jf!
Naomba kusaidiwa hints za interview za hawa jamaa wa PSRS ni mambo gani hasa wanahoji sana hasa kitaaluma.?
Je, wanapiga slides za chuo zile in deep au ni general knowledge tu!
Tusaidiane tu kwa faida ya wengi tuloitwa huko na ni mara ya kwanza hasa upande wa mifumo ya kompyuta.
 
Interview lini? We komaa na basics zako za mifumo ya kompyuta,nothng more
 
Wale jamaa si wote wamesomea fani zetu bali wengi wao ni wataalamu wa rasilimali watu (HR), Na unapojibu maswali hasa ya written jitahidi kuwa kama unamfundisha mwanafunzi asie jua kitu chochote kuhusu fani yako. Epuka teminology ngumu, maelezo mengi kana kwamba anaesahihisha anayafahamu yale ya fani yako.
 
Back
Top Bottom