daaaah kweli pepa Ilikua nzito hasa hayo maswali yanayokuwa na scenario's ni magumu poleni aseehQn. 1. Ilizungumzia importance of an auditor to refer previous audit on effectiness of internal control, kati zikawekwa concepts nyingi nyingi tu. Swali likawa, Justify hiyo statement.
Qn. 2. Ilihusu (a) short notes about cycle auditing.
(b) ilihusu explain pressumptions and rationale of cycle auditing.
Qn 4. (b) ilikuja table ya kujaza, ilihusu description about na explaina uditing approach with examples.
Column ya kwanza ilihusu concept hizo chini, column ya pili na ya tatu ilihusu hizo concept juu respectivelly;
- economy and efficiency
- effective internal control
- prospective competitor
- effectiveness
- compliance
Nimejaribu vuta kumbu kumbu, imegoma kabisaa, nimegusa tu key concepts.
Ngoma ilikua ya moto na nzito sana mzee.daaaah kweli pepa Ilikua nzito hasa hayo maswali yanayokuwa na scenario's ni magumu poleni aseeh
Hapo kutoboa mpaka God abless tu aseeh hizo mbanga nishidaNgoma ilikua ya moto na nzito sana mzee.
Daaahh, pepa ikiwaga nzuri, kwenda OP ni rahisi sana.Hii lazima oral uendee naamini auditing umepita nao tu na practice uhakika wadudu sindo wale wale tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Maswali ya Auditing yalikuwa na maelezo mengi sana, mistari kama kumi hivi ni swali mojaUsiseme hivo mkuu, maswali hayakuja direct, marefu mno na yamekuja na technical term(s) ambazo kwa wengi, kama sio wote zilikua/ilikua mpya.
Ukijumlisha ufinyu wa muda, 40mins, kuyakumbuka ni mziki hasaa.
Hatari sana hawa jamaa.Maswali ya Auditing yalikuwa na maelezo mengi sana, mistari kama kumi hivi ni swali moja
Kweli mzee pepa ikiwa nyepesi Yani kinachotuuaga ni cut point na kwenda op kidogo tu inapotea mazimaDaaahh, pepa ikiwaga nzuri, kwenda OP ni rahisi sana.
Tusubiri matokeo yataamua mkuu
ππππSwali kama essayMaswali ya Auditing yalikuwa na maelezo mengi sana, mistari kama kumi hivi ni swali moja
What is final withholding and non final withholding tax?Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written....
Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa
Unapokuwa unatoa maswali jitahidi kutaja kada husika.
Ngoja waje mkuuOhy kwa waliofanya afisa Kilimo(Agro-officer tuwekeee maswali hapa
ππππUmepata room?leo utalala nje nakwambiaKama naona dodoma lodge zilivyojaa
Mkuu ni hatariii,me nimefika saa saba usiku huu.Hapa nimejibanza kwenye ka grocery nasoma soma madesa hapa.Asubuhi napanda gar UDOMKama naona dodoma lodge zilivyojaa
God bless youMkuu ni hatariii,me nimefika saa saba usiku huu.Hapa nimejibanza kwenye ka grocery nasoma soma madesa hapa.Asubuhi napanda gar UDOM
Mkuu ni hatariii,me nimefika saa saba usiku huu.Hapa nimejibanza kwenye ka grocery nasoma soma madesa hap
Wanatoa stori nyingi kwenye swali ili wakupoteze njia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swali kama essay
ππππSema Yale maswali jau sana utafikiri yani ndo tunaenda kuyafanyia kazi vileWanatoa stori nyingi kwenye swali ili wakupoteze njia