TUITOR Member Joined Aug 7, 2011 Posts 12 Reaction score 1 Jun 12, 2013 #1 Mwenye taarifa juu ya matokeo ya usaili na nini kinafuata baadaye na ni lini atujuze tafadhali,,,manake nina hofu plus wasiwasi mpaka basi jamani! Nawakilisha :suspicious:
Mwenye taarifa juu ya matokeo ya usaili na nini kinafuata baadaye na ni lini atujuze tafadhali,,,manake nina hofu plus wasiwasi mpaka basi jamani! Nawakilisha :suspicious:
G GIUSSEPE Senior Member Joined May 12, 2011 Posts 126 Reaction score 34 Jun 12, 2013 #2 jamaa wanazingua mpaka basi....
S Starkwood Member Joined Apr 10, 2013 Posts 62 Reaction score 25 Jun 12, 2013 #3 i heard after three weeks watatoa majina kwa ajir ya oral interview, from the day we did ile aptitude test..
i heard after three weeks watatoa majina kwa ajir ya oral interview, from the day we did ile aptitude test..
S SJUMAA26 JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 607 Reaction score 168 Jul 4, 2013 #4 Starkwood said: i heard after three weeks watatoa majina kwa ajir ya oral interview, from the day we did ile aptitude test.. Click to expand... Hizo three weeks bado hazijaisha tu?
Starkwood said: i heard after three weeks watatoa majina kwa ajir ya oral interview, from the day we did ile aptitude test.. Click to expand... Hizo three weeks bado hazijaisha tu?
Punda wa Dobi JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 591 Reaction score 239 Jul 4, 2013 #5 watu waliofanya aptitude 8,500, post zenyewe ngapi???? kudaaaaadeki