J Jshoo Member Joined May 24, 2013 Posts 35 Reaction score 6 Jul 2, 2013 #1 :rain:Jana kwenye gazeti la mwananchi mkurugenzi wa PSPF alitoa tangazo la kujiami na matapeli wanaowaambia watu watoe hela ili wawe shortlisted binafsi alionya vikali na alilaani kitendo hicho.
:rain:Jana kwenye gazeti la mwananchi mkurugenzi wa PSPF alitoa tangazo la kujiami na matapeli wanaowaambia watu watoe hela ili wawe shortlisted binafsi alionya vikali na alilaani kitendo hicho.