wapo wengi wamestaafu tangu mwezi wa 4 mpk leo dec hawajalipwa mafao,wazee wamekua ombaomba,mnawadharirisha sana,walipen
Serikali haijaileta pesa za 15% contribution ya mwajiri kutoka hazina tangu mwezi May 2015 hadi sasa kwa mifuko yote ya pension. Kindly be informed. ..