Pspf!! Pspf

Pspf!! Pspf

HKB

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
48
Reaction score
2
Jamani walioomba nafasi mbalimbali leo hawa jamaa wametoa list kwa ajili ya written interview kwenye website yao...
 
Huyo IT specialist wao au secretary aliechapisha hayo majina alikuwa na haraka au amechoka??list majina kibao lakini ukiangalia ni rpetition zaidi ya mara tatu..Nyie PSPF na IT department kuweni serios bas hata kama ni human error haiwez jirudia rudia kiasi hiki,
 
thank kwa taarifa! na mimi nimo kuna nafasi numekuwa shortlisted pamoja na watu wengine pia yupo na mtoto wa Mizengo Pinda.
 
Naomba nisaidie web site ambayo naweza kuingia nikaona hayo majina maana nimeangalia cjaona.asante.
 
dah page 300++++ hivi nafasi ngapi walitangaza?
 
thank kwa taarifa! na mimi nimo kuna nafasi numekuwa shortlisted pamoja na watu wengine pia yupo na mtoto wa Mizengo Pinda.

Mungu akusaidie ufanikiwe upate ajira. Hila usiwe na ubaguzi kwa mtoto wa PM wetu. Chamsingi ni kuwa na vigezo vinavyotakiwa.
 
Huyo IT specialist wao au secretary aliechapisha hayo majina alikuwa na haraka au amechoka??list majina kibao lakini ukiangalia ni rpetition zaidi ya mara tatu..Nyie PSPF na IT department kuweni serios bas hata kama ni human error haiwez jirudia rudia kiasi hiki,

ivi hapo ndo inakuaje maana finance officer grade ii majina yanaishia G afu yanaanza tena mwanzo kama mara 3 so wenye herufi kuanzia hapo hawapo kuna yeyote anayejua kuhusu hili labda kama kuna document nyngne
 
Mi naanzia G. Nliomba finance oficer grade ii ila nimekuta nipo kwa walioomba senior HR. Nifanyeje jamani
 
Jamani walioomba nafasi mbalimbali leo hawa jamaa wametoa list kwa ajili ya written interview kwenye website yao...

Pspf si ndo nimeskia imefilisika...
 
Ahhh,,, mkuu wa 'pension sold to people far away' tiririka na ajira labda tutasahau soon
 
Back
Top Bottom