mnyevushaji
Member
- Oct 4, 2011
- 24
- 1
Wadau naomba juzwa mh imekuwa muda sana tangu 2fanye oral interview hakuna habari yeyote juu ya lini au nani kaitwa anza kazi,plz mwenye updates plz weka jamvini
Wadau naomba juzwa mh imekuwa muda sana tangu 2fanye oral interview hakuna habari yeyote juu ya lini au nani kaitwa anza kazi,plz mwenye updates plz weka jamvini![]()
Watu wanakaribia kumaliza mwezi kazini, pole sana. Ukiona kimya ujue hukufanikiwa
acha upotoshaji ww...kama huna info u better shut the f**k up..
kaka wanaita kwa njia gani?simu email au kwa publish on website??
Hebu kuwa mstaarabu japo kidogo, mtu kauliza maana yake alikuwa anataka apewe taarifa; mwingine kajibu ili kumpasha taarifa aliyeuliza wewe unakuja na matusi. Hata kama hizo taarifa hazikukufurahisha wewe basi ni vyema ungeficha upumbavu wako kwanza. BTW: Inategemea uliitwa kwenye usaili wa nafasi ipi ya kazi, vinginevyo kama ni ile ya Finance Officer Tax Matters mi ndiye niliyekalia kiti hicho na nimesharipoti tayari hivyo tafadhali jaribu tena baadaye/kwingine!acha upotoshaji ww...kama huna info u better shut the f**k up..
kaka wanaita kwa njia gani?simu email au kwa publish on website??
samahan mkuu na hongera kwa kupata...Hebu kuwa mstaarabu japo kidogo, mtu kauliza maana yake alikuwa anataka apewe taarifa; mwingine kajibu ili kumpasha taarifa aliyeuliza wewe unakuja na matusi. Hata kama hizo taarifa hazikukufurahisha wewe basi ni vyema ungeficha upumbavu wako kwanza. BTW: Inategemea uliitwa kwenye usaili wa nafasi ipi ya kazi, vinginevyo kama ni ile ya Finance Officer Tax Matters mi ndiye niliyekalia kiti hicho na nimesharipoti tayari hivyo tafadhali jaribu tena baadaye/kwingine!