pspf! pspf! Pspf! Yes i mean pspf!

ndinasyo

Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
67
Reaction score
16
wadau wa jf, mbona pspf wako kimya, au kuna m2 mwenye info zao atupie hapa?
 
CAG aliyetoa taarifa hiyo ya PSPF katoa ufafanuzi, angalia Mtanzania, habari leo , RAi etc
 
kama watu wanahitajika 50 mkatuma maombi 15000 unategemea nn wafanye haraka ili maombi yako wayaache?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…