pspf,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ps pf

mnyevushaji

Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
24
Reaction score
1
duh maneno ni mengi sana huku mtaani,kila mtu na lake'nauliza ni kweli watu wameisha itwa kuanza kazi?

  • 😛arty:

  • :smow:
 
dah kaka hata mimi hadi nachoka aisee..hivi ile post finance officer grade 2 tayari???maana ya fiance tax kuna mtu alisematayari kashapata ile nafasi.sasa sijui wale wa3 wa finance officer 2 kama kuna mtu ana info za uhakika atujuze
 
hyo pia tayari mkuu...kuna mshkaj wa rafk yangu kapata...
 
DUUH hapa tusubili teena mwaka kesho..ila i dont think kama nitakuja kuomba teena bila referee wa maana
 
Reactions: Edo
dah kaka hata mimi hadi nachoka aisee..hivi ile post finance officer grade 2 tayari???maana ya fiance tax kuna mtu alisematayari kashapata ile nafasi.sasa sijui wale wa3 wa finance officer 2 kama kuna mtu ana info za uhakika atujuze

Yule jamaa mzushi tu kazi kachukua mwana mmoja na anastahili yupo bright sana..sio swala last kutafuta referee mzito ni ww kujipanga interview
 
Reactions: Edo
Kwa kawaida na mara nyingi referee ana nafasi pale unapokuwa umepita kwenye mchujo-Interview, hivyo kwanza bidii yako kwenye hatua za awali.
 
guys mngeona ambavo nilijipanga..waliniulza almost 15 Questions zote knowledge ya darasani niliwajibu clear kasoro moja nikawaambia kabsa sijawai kulisikia ilo neno
 
Yule jamaa mzushi tu kazi kachukua mwana mmoja na anastahili yupo bright sana..sio swala last kutafuta referee mzito ni ww kujipanga interview

Hakuna cha ubright, Vimemo vilitembea watoto wa vigogo ndo wamechukuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…