mnyevushaji
Member
- Oct 4, 2011
- 24
- 1
duh maneno ni mengi sana huku mtaani,kila mtu na lake'nauliza ni kweli watu wameisha itwa kuanza kazi?
- 😛arty:
- :smow:
mkuu mbna wameshaita tar 19 nov...mayb wataendelea kutuita hapo baadayeduh maneno ni mengi sana huku mtaani,kila mtu na lake'nauliza ni kweli watu wameisha itwa kuanza kazi?
- 😛arty:
- :smow:
hyo pia tayari mkuu...kuna mshkaj wa rafk yangu kapata...dah kaka hata mimi hadi nachoka aisee..hivi ile post finance officer grade 2 tayari???maana ya fiance tax kuna mtu alisematayari kashapata ile nafasi.sasa sijui wale wa3 wa finance officer 2 kama kuna mtu ana info za uhakika atujuze
endelea tu kuomba mkuu huwez jua Mungu kakuandikia nn..DUUH hapa tusubili teena mwaka kesho..ila i dont think kama nitakuja kuomba teena bila referee wa maana
dah kaka hata mimi hadi nachoka aisee..hivi ile post finance officer grade 2 tayari???maana ya fiance tax kuna mtu alisematayari kashapata ile nafasi.sasa sijui wale wa3 wa finance officer 2 kama kuna mtu ana info za uhakika atujuze
Yule jamaa mzushi tu kazi kachukua mwana mmoja na anastahili yupo bright sana..sio swala last kutafuta referee mzito ni ww kujipanga interview
Hakuna cha ubright, Vimemo vilitembea watoto wa vigogo ndo wamechukuliwa