alunashadya
Member
- Aug 15, 2014
- 57
- 10
Wadau JF,
Napenda kujua, hivi mtumishi anapostaafu itachukua muda gani kulipwa mafao? Nina mama yangu alistaafu tangu Machi 31. Hadi leo anahangaikia malipo bila mafanikio, wanampiga kalenda sana, haelewi, wakati ile ni haki yake kisheria.
Hebu wenye uzoefu naombeni mawazo.
Embu tueleze wanapompiga kalenda wanakuwa wanatoa sababu gani?ili tuanzie hapo kwanza na pili anafuatilia mafao yake mkoa gani? ila pspf kwa sasa inapumulia mashineWadau JF,
Napenda kujua, hivi mtumishi anapostaafu itachukua muda gani kulipwa mafao? Nina mama yangu alistaafu tangu Machi 31. Hadi leo anahangaikia malipo bila mafanikio, wanampiga kalenda sana, haelewi, wakati ile ni haki yake kisheria.
Hebu wenye uzoefu naombeni mawazo.
Embu tueleze wanapompiga kalenda wanakuwa wanatoa sababu gani?ili tuanzie hapo kwanza na pili anafuatilia mafao yake mkoa gani? ila pspf kwa sasa inapumulia mashine
Kustaafu tu pekee sio ndio kuanza kulipwa. Yeye barua yake ya kustaafu kaipeleka lini PSPF?
Nenda ghorofa ya tisa... mtafute mtu anaitwa masaba yeye atakusaidia jamaa ni mstaharabu sana atakusaidia
yani mkuu ppf wanakera sana pesa zakwako alafu wanazungusha..bora NSSF...nilijuta kujiunga na ppf
Nenda ghorofa ya tisa... mtafute mtu anaitwa masaba yeye atakusaidia jamaa ni mstaharabu sana atakusaidia