Naona mradi wa jengo kubwa la pspf likizonduliwa leo hii 23/4/2018, na miradi mingi kemkem ya pspf, swali nauliza je miradi hiyo inawanufaisha wanachama wachangiaji??

Itakuwa na tija kama wanachama wake haswa watumishi wa umma kama watanufaika Kwa kupata mikopo ya biashara itakayo wawezesha kujikwamua kiuchumi , vinginevyo miradi hiyo mingi na mikubwa wataifurahia wenyewe tu.
PSPF wanapaswa wajitazame upya,