mnyevushaji
Member
- Oct 4, 2011
- 24
- 1
wadau naomba kuwasilisha,bado kimya?au kashaliwa manyoya lini 2tayaona:frusty:
mbona watu wameshaanza tayari.. na kwa sasa wapo training.. nna sister angu mmoja nilikuwa nikifanyanae kazi amepata hapo wapo training now ppf tower, wiki sasa.. but ye anasema kapigiwa pande .. mjini hapa!!!!!
duh!kwhy ka muda kangu ka kuandika barua.copy hela na muda wa kupeleka .imekula kwangu.uwiiiiiimbona watu wameshaanza tayari.. na kwa sasa wapo training.. nna sister angu mmoja nilikuwa nikifanyanae kazi amepata hapo wapo training now ppf tower, wiki sasa.. but ye anasema kapigiwa pande .. mjini hapa!!!!!