Pspf jamani kunani?

Pspf jamani kunani?

mnyevushaji

Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
24
Reaction score
1
😛layball:Wadau naomba kuuliza vp wajombawashaita watu ktk interview au ndo imekula kwetu:wink:
 
Kuita kwenye written interview - June '13
Oral Interview - Sept '13
Barua za ajira - Jan '14
Kuanza kazi - March '14
 
Kama kweli hii ndiyo ratiba yao basi inasikitisha sana,kuanza kazi March 2014???
 
Kama kweli hii ndiyo ratiba yao basi inasikitisha sana,kuanza kazi March 2014???
 
Kuna watu walikuwa wanafanya kazi pale kwa contract ya mwaka halafu contract Yao inaisha mwezi huu hao nao wameaply hizi kazi kwahyo competition ni kubwa sana hao wananafac ya kupewa hiyo kazi, zaidi ni kumuomba mungu atende muujiza
 
Back
Top Bottom