ndugu,hata me nli doubt ila kuna m2 akanambia wale wanatafta OPERATIONS OFFICER,sio accountant,engineer wala abc...thats y wakatoa general questions...ila nkajiuliza mbna last year NSSF walitoa qns za darasani,tofauti na PSPF leo?anyway,ngoja 2wasubiri gr8 thinkerz watakuja na solid solutions...!
Mtihani ulikuwa unapima general understanding ya mtu. Mmeona mtihani mrahisi lakini mkipewa majibu mtashangaa!
Subiri kama utakuwa mmoja wa hao 50! Ukikosekana kwenye 50 unatakiwa ujione kilaza!
Mtihani ulikuwa unapima general understanding ya mtu. Mmeona mtihani mrahisi lakini mkipewa majibu mtashangaa!
Subiri kama utakuwa mmoja wa hao 50! Ukikosekana kwenye 50 unatakiwa ujione kilaza!
rejao,unaweza kupata hata 90% ila usiingie second round jinsi mtihani ulivokuwa...wish lbd ungeufanya ungeona...then kutokuwepo ktk 2nd round kwa kupata 90% sio u KILAZA km unavyotaka iwe,unless u want to be a rocket engineer.