M masaumbe Member Joined May 28, 2013 Posts 42 Reaction score 11 Jun 28, 2013 #1 Wadau habari za mchana,Naomba kujuzwa kama PSPF walishahita watu for oral interview coz naona kimya sana,Pia PPF walitoa kazi,any news naomba kujuzwa ni pamoja na LAPF
Wadau habari za mchana,Naomba kujuzwa kama PSPF walishahita watu for oral interview coz naona kimya sana,Pia PPF walitoa kazi,any news naomba kujuzwa ni pamoja na LAPF
I ineb Member Joined Jan 5, 2013 Posts 79 Reaction score 11 Jun 28, 2013 #2 walipotoa taarifa za kazi ndipo watakapotoa news za interview