Mzumbe hawana PSPA lakini wana offer Public Administration.Wakuu naomba kujua kama chuo cha Mzumbe kinapokea diploma holders katika Shahada za Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (Political Science and Public Administration (PSPA)), na Sheria (Law) kwa mwaka wa masomo 2017/18.
Kama llb, public adminstration(not pspa)
Asante kwa ushauri mkuu. Ndio maana hapo juu kwenye uzi LLB nimeiweka, nikiwa na alternative mbili. On mesoma diploma ya PA hivyo PSPA niliihitaji nikijua itaniongezea kitu fulani katika PA yangu na kunifanya competent zaidi. Ila kama inazingua basi, lengo langu kuu ni PA. Japo hujanieleza ubaya wake ni upi...
Asante sana mkuu nimekupataUbaya wa political science kwa TZ hamna implication that's all, mimi muajiri nikimhitaji mtu wa PA ukaja wewe wa PSPA na PA unadhani nitachagua yupi?maana hata masomo mnashare machache, watu wa HR na PA wanashare masomo mengi kuliko mtu wa PSPA na PA
Asante sana mkuu nimekupata
Sawa, [emoji1][emoji1]sasa ukiniona huku jf uwe unanisalimia mdogo wangu maana mimi ni kaka yako nimekupita 16years hivi kwa calculations za haraka haraka
nenda ud ukakutane na mbabe wa kimataifa prof mohabe nyirabuAsante kwa ushauri mkuu. Ndio maana hapo juu kwenye uzi LLB nimeiweka, nikiwa na alternative mbili. On mesoma diploma ya PA hivyo PSPA niliihitaji nikijua itaniongezea kitu fulani katika PA yangu na kunifanya competent zaidi. Ila kama inazingua basi, lengo langu kuu ni PA. Japo hujanieleza ubaya wake ni upi...
wacha uongo mzeeUbaya wa political science kwa TZ hamna implication that's all, mimi muajiri nikimhitaji mtu wa PA ukaja wewe wa PSPA na PA unadhani nitachagua yupi?maana hata masomo mnashare machache, watu wa HR na PA wanashare masomo mengi kuliko mtu wa PSPA na PA