Kama milioni kumi si unapata kila kitu na chenji inabaki nyingi sana hayuko serious kwa kweliMilion kumi si bora ninunue IST nina Milioni 9.5
Sijakuelewa.Kaka kwa Milioni nane nyingi Sana!
Nina milioni Tano tu, Kama inawezekana tufanye Biashara
Nani kasema milioni kumi?Kama milioni kumi si unapata kila kitu na chenji inabaki nyingi sana hayuko serious kwa kweli
Soma vizuri tangazo...''kama uko serious nicheki pm"Hujaweka bei chief.. Chukua 1.2 hizi si PS4 toleo la kwanza!?
Wewe weka bei basi na wewe,mambo ya inbox watu wa huku hawayapendiNani kasema milioni kumi?
Nimeqote aliyesema milioni kumi, kingine ukitaka kuuza kitu weka bri hadharani unaficha nini sasa?Nani kasema milioni kumi?
Jamii forums hua haina mambo ya kuchekiana pm taja bei mtu akija pm anakuja kubargain mambo mengine ila bei kashajua.Soma vizuri tangazo...''kama uko serious nicheki pm"
Hii ndio JF, hapo unakumbushwa kuweka bei hadharani huku hakuna mambo ya PmNani kasema milioni kumi?
Milioni tisa ndogo sana ongeza angalau iwe elfu 70Kaka nimepambana nimepata Millioni Tisa vipi unaweza kunisaidia?
Daah sawa Mimi natoa milioni kumi na elfu 80Milioni tisa ndogo sana ongeza angalau iwe elfu 70
amno ya pm miyeyusho, haya tayari nishakucheki huko prime minister. Chungulia.Soma vizuri tangazo...''kama uko serious nicheki pm"
Gunner mi nina 4 fat naiuza ila inatumia system ya HEN na haina pad. Weka 560M
amno ya pm miyeyusho, haya tayari nishakucheki huko prime minister. Chungulia.