Ila wa2 punguzeni viherehere !! Sasa mwenzanko anafanya biashara unaanza kuwasemea wateja wake !! Kama ww hununui acha post ikaee !! Sema sihitaji na si kuwasemea wenzanko !! Aaaah..mchawi si kuwanga tu !! Hata huu mmnaoufanya ni uchawi !! Acheni Rizki za wa2