Ps3 Games injection CFW/OFW + Jailbreak slim/fat no chip

the great wizard

JF-Expert Member
Dec 21, 2015
1,482
882
Habari wadau
kama wewe ni mkazi wa dodoma na una ps3 yako haijalishi ni
-Fat
-slim
-Super slim
tutaweza kukuwekea Games unazozitaka kwenye mashine yako amboyo ipo unlocked pia zile ambazo hazija-jaibreakiwa Tutaweza kuzijailbreak
mashine zinazo support jailbreaking activity ni
-Fat
-Slim lazima ziwe CECH 2XXX AU KUSHUKA CHINI
NB-iwe ofw yoyote ile ata 4.82 tutaweza kuijailbreak
-kuhusu super slim hatutailjaibreak but tu tutaweka tu games unazozitaka
Games zilizopo ni kama
-FIFA 18/PES 18
-GTA V
-WATCH DOGS
-CALL OF DUTY BLACK OPS
-NFS MOST WANTED 2012, NFS RIVALS
-SLEEPING DOGS
-NBA 2K18
-FIGHT NIGT
-GRID
-GOD OF WAR III
-ARMY OF TWO
na nyingine nyingi tu
kama kuna ambaya haipo ukiitaka tutakudownloadia
bei ni nafuu sana
 
mimi ni ps3 yangu nikiwanya feni inazunguka kwa kasi isiyo ya kawaida, problem yaweza kuwa nn?
 
Back
Top Bottom