PS2 games centre inauzwa

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
12,898
28,935
.

IMG-20151210-WA0012.jpg
 
Biashara ya PS2 game centre inauzwa. Ipo Kijiwesamli, Dar es Salaam. Ndani ya frem hiyo kuna mashine (PS2) tatu, flat screen 24" tatu, pads, extension ya umeme, feni, viti sita vya plastic, bench dogo la mbao. Kodi bado ipo hadi June 1. Biashara ni nzuri haijaathiriwa na sera za JPM hata kidogo. Mimi naiacha kwa sababu ya usimamizi kuwa mgumu kwangu kutokana na umbali pia baada ya kujikita kwenye biashara zingine kwahiyo nitafungua centre nyingine karibu na ninapoishi. Bei ni 1650000/- tu. Karibuni. Piga 0757528827 au 0715551627
weka mambo sawa kodi na ikiwezekana mtonyo ulokuwa unapiga kwa mwezi ili uongeze ushawishi
 
weka mambo sawa kodi na ikiwezekana mtonyo ulokuwa unapiga kwa mwezi ili uongeze ushawishi
Kodi ni 50000 kwa mwezi. Mapato ni 15000 hadi 20000 kwa siku. Hiyo ya mapato huenda ni zaidi ya hapo maana sikuwa nikichezesha mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom