NAPITA wewe kweli Unapita aisee yani picha zako nyingi unazotupia humu ni hot hot kwa Dunia ni matukio amabayo yanatokea mda mfupi na tayari unakuwa nayo du vp auna mpango wa kuanzisha blog? Du hatimaye umeniwezesha kuiona Pampuchi ya Rihana japo kwa mbali.