IDDI SHAFII
Member
- Oct 26, 2012
- 37
- 8
nimeangqlia waliochaguliwa MUM round ya pili nipoTcu wameshakuchagua, sasa angalia jina lako kwenye vyuo
Pia mimi nimeomba kupitia NACTE nimewekewa provionally selected ila niwe mpole nisubiri hii siku ya tatuhabari . round ya 1 nilikosa .round ya 2 niliomba TCU halaf nikafuta program zote kwenye profile yang .nikaomba MUM direct chuon bila kupitia TCU. ss hv nikiangalia profile Yang TCU nimeandikiw you have provisionally selected. au mum wameshapeleka majina yetu TCU yamepitishwa
samahani naombeni anayeweza kunisaidia kucheki nilipo chaguliwa kwani mm nashindwa kabisa pls msaada
index yangu ni s1159/0155/2010
Pia mimi nimeomba kupitia NACTE nimewekewa provionally selected ila niwe mpole nisubiri hii siku ya tatu
ahsante kaka kweli nimeangalia nimechaguliwa vyuo viwili tofauti UDOM na MUMIDDI SHAFII, umechaguliwa ilhali hukuomba second round. Hicho ndicho kilichofanyika TCU. Wale ambao walikosa nafasi round ya kwanza kisha hawakuchgua kwenye round ya pili, mfumo umewachagua kwa kuzingatia maombi yao ya kwanza ambayo yalikatiliwa kutokana na uchache wa nafasi.
Nimeona hivyo kwa chuo cha UDSM, DUCE, MUCE na UDOM. Hata baadhi ya kozi ambazo wa awamu ya pili wamechaguliwa hazikuwemo kwenye mfumo wakati wa 2nd round.
Japo imekupa changamoto lakini pia shukuru umepata nafasi ya chuo. Chagua chuo cha kwenda kisha katoe taarifa kwenye chuo hicho ili kithibitishe uwepo wako na TCU wataku cancel kwenye chuo cha pili.
Usipofanya hivyo utapata shida kwenye mkopo.
Mkuu naangalia laknn naona inanipeleka kwene account yangu ya NACTE na bado inaonesha nipo provionally selected na kwene vyuo vyote sion jinaUliomba Bachelor Degree eeh? Basi achana na hao NACTE, hawana jipya tena hao. Check kupitia TCU, utaona CHUO walichokupangia, kisha fuatilia jina lako kama lipo huko kwenye chuo husika.
Link ya TCU: TCU CAS | View Provisional Results
-Kaveli-
Mkuu naangalia laknn naona inanipeleka kwene account yangu ya NACTE na bado inaonesha nipo provionally selected na kwene vyuo vyote sion jina
Thanks Finally jina nimeliona ..asanteni wakuuDaaah pole sana Mkuu. Basi endelea kuwasikilizia.
-Kaveli-