Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,192
- 157,347
Ujio wa Rais wa Uturuki nchi ukiwa na msafara mzito wa mawaziri watatu na wawekezaji 150 na kupokelewa na Waziri Mkuu limekaaje?
Je Rais wetu alikuwa busy, Je haoni umuhimu wa Uturuki kwa tanzania,?
Je hizi ni nyodo au ni jeuri na kiburi alichonacho Rais kwa mgeni huyu?
Mbona marais wengine alienda kuwapokea?
Tuendelee kumuombea Rais kama ambavyo amekuwa akitusisitiza. Tena tumuombee kwa maombi mazito kama tulivyofundishwa juzi na Mwalimu
Christopher Mwakasege