Protein suppliments zinahitajika

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Habari wanajamvi, mimi ni kijana wa miaka 31, ninafanya mazoezi ya weight lifting lengo likiwa ni kujenga mwili mzuri ambao upo fit. Sasa nasumbuliwa na tatizo moja, ni kwamba mimi ni mwembamba sana, na kwa kipimo cha BMI nakaribia kushuka kwenye underweight.

tangu nimeanza mazoezi nimeona faida kidogo sema nahisi narudishwa nyuma na kutokupata calories za kutosha

Najitahidi kula sana na kwa wingi ila ki-ukweli chakula ninachoweza kununua hakifikii ile idadi ya calories ninazohitaji kwa mwili wangu illi niweze kufikia uzito na mwili niutakao.

hivyo basi naulizia protein supplements, protein shakes ziweze kujalizia pale ambapo chakula hakitoshi ili malengo yafikiwe.

lengo ni kuingiza mwilini calories 3000-3500 za clean protein.

kama unafahamu wapi ntapata hizi protein supplements ntashhukuru sana ukinisaidia, kama haufahamu tafadhali naomba uache wanaofahamu washirik

usiku mwema!
 
Umezipata mkuu? Funguka ni PM nikuletee ulipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom