Protein supplements

Nchiyanguu

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2021
Posts
319
Reaction score
619
Habari za muda huu wana JamiiForums, poleni na uchovu wa mihangaiko ya siku nzima.

Naomba niende moja kwa moja kwenye maada, kwa research yangu ndogo nimegundua hapa Tanzania wengi hatuna elimu kuhusu protein supplements au Poda kama vijana wengi wanavyopenda kuziita.

Kumekuwa na misemo mingi ambayo sio sahihi. Kwa mtu ambae unafanya mazoezi ya kunyanyua chuma hivi virutubisho ni muhimu sana katika kujenga mwili kwani zinakupa calories na grams za protein ambazo ni muhimu katika kujenga mwili.

Kwa maelezo zaidi na elimu zaidi tembelea kwenye ukurasa wa instagram protein_supplemets.
 
Zinafanyaje kazi hizo
Protein supplements kwanza zinatumika kwa jinsia zote yani mwanamke na mwanaume. Mwanamke kama ni mwembamba yani slim body so anataka kuongeza mwili anaweza tumia protein. Na mwanaume kama anataka ajenge mwili wake pia anaweza tumia. Jinsi yakutumia hii ipo katika mfumo wa powder so unachanganya na maziwa au fruits yani juisi ya matunda au maji anatikisa au anaweza ku blend akanywa.

Karibu sanaa
 
Ungeeleza japo kwa ufupi namna zinavyofanya kazi Na ingredients.
 
Kwa watu wembamba kama mh mello inakuaje akitaka kujenga mwili..na madhara yake kiafya ni yapi?
😂😂 hizi kwanza ni special kwa watu wembamba so kama mtu ni mwembamba hii inakufaa kabisa. Na kuhusu madhara au side effects hakuna ndio maana kuna mtu unakuta anataka kufanyiwa OP hospital lakin unakuta Afya yake ni dhohofu unakuta Doctor anamshauri atumie protein kama WHEY ili ajenge mwili aweze fanyiwa op so hazina shida kabisa.
 
Nipo mkoa napataje

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na ikitokea mtu ameacha kutumia hizo powder nini kitatokea ? Mwili utarudi kama mwanzo ?
 
Na ikitokea mtu ameacha kutumia hizo powder nini kitatokea ? Mwili utarudi kama mwanzo ?
Hizi protein unatumia mpaka utakapopata matokeo unayoyataka wewe then unacha unaendelea na workouts. Ukiacha hautapungua kwasababu umeacha hapana labda kutokana na external factors kama ugonjwa Nk
 
Wanasema if you eat clen and tren hard you will get anything you want.
Sahihi kabisa ila kuna watu wanashindwa ndio maana ikaja mbadala wake, lakini kama unakula vizuri unapata vyakula muhimu vua kujenga mwili kwa kiwango kinachoitajika haina umuhimu wakutumia supplements
 
MDs waje waongezee ufahamu wao tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…