Emmanuel Akim
Member
- Jun 9, 2017
- 71
- 16
Halafu payments in USD nalo ni tatizo unatakatisha nini?Greedy! $100 per square meter hiyo bei kakupangia nani? Wewe na wenzenu your days are numbered.
Halafu payments in USD nalo ni tatizo unatakatisha nini?
Utaitangaza had I mwaka 2025 haijapata Mteja aise
Prot for sare![]()
Prot?hapana bossBoss hutaki prot ?
Labda anataka kuwauzi wamarekani...akina jay z...50cent...akina trump and the alike!! Maana naona kaweka dola!Nyie madadali mbona mnakuwa wajinga kihivyo? Hivi hiyo $700,000 unaijuwa kweli au unakisia tu? Hiko kiwanja si cha bei hiyo, hata $200,000 ni nyingi. Muwe mnajaribu kutofautisha na maisha, Tanzania si majuu.