Yahya Asaa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 244
- 28
Sawa kama nitakosa nitafanya ivoagizia bro
Sawa kakaBei nzuri kiasi gani? Nenda kariakoo Agrey na likoma mitaa ile kuna possibility kubwa ya kupata.
sizani kamauitapata kwa bei hioo na generation unayohitajiSawa kaka
Asante pia kwa muongozo
Bei yangu kwa i5 ni 150,000 na kwa
i7 ni 200,000
Vp naweza kupata kwa bei hiyo
Hizi si bei za tecno mkuuSawa kaka
Asante pia kwa muongozo
Bei yangu kwa i5 ni 150,000 na kwa
i7 ni 200,000
Vp naweza kupata kwa bei hiyo
Haiwezekani mkuu bei iyo uwongoHizi si bei za tecno mkuu
Kwa ushauri generation unazo zitaka andaa 900k kwenda juu.
Inawezekana bei niliotowa mimi ikawandogo kidogo lakini na kwa bei uliotowa wewe ni kubwa mnoo haiwezekani iyo ni bei ya mashine nzima iyoHizi si bei za tecno mkuu
Kwa ushauri generation unazo zitaka andaa 900k kwenda juu.
Nahisi hajakuelewa. Yeye anahisi unataka PC nzima.Inawezekana bei niliotowa mimi ikawandogo kidogo lakini na kwa bei uliotowa wewe ni kubwa mnoo haiwezekani iyo ni bei ya mashine nzima iyo
Labda hajaelewa maana dah kwa bei iyo hatari mkuu nusura simu iniangukeNahisi hajakuelewa. Yeye anahisi unataka PC nzima.