Sawa na proposal yako!Sio lazima.
Sio lazima.
ProposalUnamshawishi kupitia nini ??
ye mwenyewe kashindwa kutushawishi hapa ili tununue proposal yake aache utapeli atafute shuguli ya kufanyaNamtaka aje kujibu yeye.
Kwa wale walimu unapoenda kuomba kazi inabidi umshawishi muajiri nini utafanya kukuza ufauru au thamani yako ipi.
Tumekuandalia Proposal ya Approach ya kuinua ufauru wa wanafunzi utayo muonesha muajiri nini utafanya katika nyanja kadhaa.
Unapofika kwa mtaaluma au mkuu wa shule unamoigisha somo between line Approach zilizo kwenye proposal.
Nauza proposal inauzwa 2000 ina page 3.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mno.NINA WASIWASI NAIYO PROPOSAL ...tupe translation ya word ''ufauru''