Prophet Bushiri kanunua Jumba la US$ 12million.

Yule mwingine wa Zimbabwe Anaitwa nani? Model model hivi naye ana pesa za kumtosha Lamborghini, Ferrari, Bugati i
 
Watu wanaliwa sana na hizi dini za siku hizi
 
Duh sasa kuonana nae ili iweje, yaani kuweka booking ili kumuona wa nini?
Ili akuombee.
Mimi huyu Bushiri ninamkubali sana ,hasa baba yake wa kiroho Uebert Angel ambaye kwasasa anaishi UK.
Ila ndugu zangu napenda kuwaasa kwamba tuwe makini na watumushi.
Wapo wanaosimama kumwakilisha Mungu, wengine wanamwakilisha shetani na wengine wanawakilisha matumbo yao.
Ni vyema kama mkristo ujawe na Roho mtakatifu ambaye ni general fullfilment. Hii itasaidia uweze kuingia uani mwa MUNGU muda wowote na mahali popote free incharge.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…