muongozaji
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,386
- 1,003
Hilo ni kweli kabisa, ukiona kiongozi wa Kizungu anakuja Afrika ujue kuna sababu maalumu na kwa kuwa sisi tuna IQ ndogo Wazungu wanasema IQ ya Kusini mwa Sahara ni 70 wkt ile ya Dunia nje ya kwetu inaanzia 90 kuendelea (hii ni kulingana na hao Wazungu tunaowaabudu hivyo usinihukumu)!
Kilichomleta Netanyahu Afrika ndicho kile kile kilichomleta Kim wa Korea Kaskazini na ndicho kilichomleta Park wa Korea Kusini Afrika pia, hawa wote wanahitaji mtu wa kuwaunga mkono kwenye mambo yao huko UN, sasa kwa kuwa Dunia nje na Afrika watu wanajitambua sehemu pekee ya wao kupata kura za bure ni Afrika kwetu (Kusini mwa Sahara) hakuna kingine, wanazuga kuja na Wafanyabiashara lkn ajenda ndiyo hiyo wanataka kura za Afrika huko UN, sasa Israeli (hasa utawala wa Netanyahu) unabanwa na Dunia nzima kuhusu uonevu wanaowafanyia Wapalestina hata Ulaya wanasapoti Palestianian State mpaka Obama mwenyewe sasa wanahitaji (Isreali) mtu wa kuwasapoti huko UN ni nani huyo?
Ndiyo maana nampenda na kumkubali Raisi wangu Magufuli, hana mpango na hao takataka na wala kwanza hajaenda kwenye upuuzi wao!!
Long live raisi Magufuli!
We mbugila hayo yalitokea ili unabii utimie sawaNashangaa nyie wakristo mnawasaport wayahudi wakati hao hao mayahudi ndio walimkataa Yesu na Wakamuua hivi hamulitambui hilo?
Ndio maana nikasema hujui unachokiongea kila cku ni mtu wa kuropoka tu.
Kama kwa akili yako unasema poroja waulize Wafuga mamidevu na majini watakuambia kama ni porojo ama si porojo,baba zao waliwasimlia yaliyotokea 1948 na 1967 walikiona kilichomtoa kanga manyoya.
Mkuu pole sana.
"Jambo usilo lijua ni kama usiku wa kiza."
Mbona hata yesu alifuga ndevuKama kwa akili yako unasema poroja waulize Wafuga mamidevu na majini watakuambia kama ni porojo ama si porojo,baba zao waliwasimlia yaliyotokea 1948 na 1967 walikiona kilichomtoa kanga manyoya.
Mbona hata yesu alifuga ndevu
Hujielewi weweKwa hiyo unataka kujilipua???
Hujielewi wewe
Nashangaa nyie wakristo mnawasaport wayahudi wakati hao hao mayahudi ndio walimkataa Yesu na Wakamuua hivi hamulitambui hilo?
kaka, naomba link address ya habari hii nisome mimi mwenyewe kwa macho yanguKiongozi huyu atakumbukwa kwa jinsi alivyohutubia bunge la Israel Knesset kuwashawishi kupitisha sheria ya kuwafunga vizazi au kuwachoma sindano za sumu waafrika wote waishio israel bila huruma.
badget ya Israel kwa ajili ya jeshi pekee take in USD Bill 16, wakati budget ya tz nzima tena iliyo vunja record in USD bill 13,Wazir mkuu wa israel benjamen netanyahu anafanya ziara Afrika.
Ziara hili anadai ni.kuimarisha uhusiano na bara la Africa.
Lakini duru za chinichini zinadai amekuja baada ya kuona israel imepoteza ushawishi katika nchi za ulaya na marekani.
hivyo bhas anatafutwa uungwaji mkono kutoka Afrika.
Lakini huyu ndo netanyahu yuleyule muuaji wa Wapalestina.
Adui wa waafrika anayechukia ngozi.nyeusi na pia mbaguzi.
Aliyetoa speech kwamba waafrika wanajua ngono tu, kuzaa tu, hawafikirii.maendeleo,
Kiongozi huyu atakumbukwa kwa jinsi alivyohutubia bunge la Israel Knesset kuwashawishi kupitisha sheria ya kuwafunga vizazi au kuwachoma sindano za sumu waafrika wote waishio israel bila huruma.
Je, kiongozi mbaguzi kama huyu kuna haja gani ya kujisogeza karibu naye?
Israel bado ni tegemezi haiwez kusurvive bila Marekani.
Naipongeza sana tanzania kwa kwa kutoa ushirikiano.mdogo sana kwa kiongozi huyu mpenda vita wa utawala hatari wa Israel.
Tena kusingekua na haja ya kumtuma hata waziri nchi zote zinapaswa kuvunja uhusiano na utawala huu haramu unaokalia ardhi za palestina kwa mabavu utawala unaoua wanawake na watoto wadogo wasio na hatia huko Gaza.
Ukweli gani hapoUkweli unauma!!!!
kaka, naomba link address ya habari hii nisome mimi mwenyewe kwa macho yangu
Aksante sana mkuu,mimi nilitarajia sana utafatilia itifaki zilizosainiwa na nchi yako Tanzania,badala yake umeshupalia ya Israel/US sijui una maslahi gani na itifaki hizo??Ni kweli usilolijua ni usiku wa giza.
Wewe mwongo dhibitisha kwa maandiko
.....mpaka watimize haya: Qur'an: 7:157.Allah bless Israel.......