Alex Tanzania
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 782
- 652
Nawachukia sana wazungu, hakuna jema hata moja wanalofikiria dhudi ya ngozi nyeusi, popote pale penye vita zinazopelekea kufa watu wasio na hatia mhusika ni Mzungu, wanatuundia silaha wanatugonganisha vichwa wao wanauza silaha sisi tunamalizana, wanatengeneza magonjwa maabara wanayasambaza Africa watuuzie dawa, wanatupora rasilimali zetu za asili mfano madini, ges na mafuta kwa mikataba mibovu yenye shinikizo na vitisho au kwa bunduki wanatuletea vyandarua ambavyo hatujui madhara yake. Nawachukia kweli.
mtu mwenye IQ kubwa hawezi kushadidia wanaume kuoana
Ww unjua nini kama sio kushikiwa na akili hukoHujui kitu ww... kaa kimya
Acha yatimie tu........na bado ataendelea kuwachakaza tu...kainchi kadogoooooooo.....kana wajambisha waarabu wote pale..remember "THE SIX DAYS WAR".Kwa hiyo wewe unasaport mauwaji ya wanayofanya Israel kwa wapalastina ? Ninamashaka na elimu yako
yaani Ghadafi akili zake zilikuwa superb...MOLA anijalie maakili kama hayo!kuwaza maendeleo kama gadafi au nkurumah?!
Mungu amesema kwenye kitabu chake kitakatifu AIBARIKIE ISRAEL NAMI NITAMBARIKI. Usidhani Marekani imefika hapo ilipo bila kuibariki Isrsel.
ingelikuwa wanauana wenye kwa wenyewe kama unavosema isingekuwa janga la kimataifa. nikukumbushe ugaidi umeathiri nchi nyingi duniani ama moja kwa moja au inderect, Marekani, ufaransa, uingereza, kenya, Tanzania etc, etc.Kwani waarabu wana akili sasa... saa hiz wanauwana wenyewe kwa wenyewe(wanapunguzana).
Kichwa ndio mtu
Una akili sana jombaa..Kwani uongo kama nyie weusi akili zenu haziwazi maendeleo?! Bali zinawaza kuzaana tu pamoja na ngono zembe? Waafrika mngekuwa mnawaza maendeleo Leo hii bara hili lingekuwa na maendeleo makubwa sana kutokana na resources zilizopo
Kama kwa akili yako unasema poroja waulize Wafuga mamidevu na majini watakuambia kama ni porojo ama si porojo,baba zao waliwasimlia yaliyotokea 1948 na 1967 walikiona kilichomtoa kanga manyoya.Porojo tupu.
Kutwa kucha mawasiliano na USA hayaishi, Kila mwezi itifaki mpya zinasainiwa nini maana yake. Ondoa hizo porojo.
Hata kwa ujinga tulio nao tunatafuta mtu wa kumtwisha lawama hivi ni kwanini nchi za ulaya zinawatumia vijana wa kiarabu ktk ugaidi na hasa waislamu?wakati dunia imejaa watu wa aina mbalimbali
wewe ngunde unajidanganya wewe una raha hapa wakati umepigika ile mbaya,hata wewe unafikiri utaishi milele???
Wewe siku zote nakuonaga unalopoka tu, hujui unachokiongea. Tena Huyo ****** wako Sharon adhabu anayoipata huko alipo si ndogo, na ataendelea kupata adhabu milele na milele, hivi tunavyoongea "live" huyo netanyahu na wananchi wake usifikiri maisha yao ni ya furaha NO walishalaaniwa tayari, na huko mbeleni adhabu kubwa inawangoja.
Uislamu unakataza kuuwa.. full stop
Ulishaenda huko ukamwona anateseka????Acheni kukaririshwa uongo,Adhabu hupangwa na Mungu si wewe binadamu umekula ugali na maharage ukavimbiwa harafu unaanza kuropa furani yuko Motoni ni Ujinga huo.