Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,265
sasa unasema document zako unazipata kwenye site zinazo aminika je hiyo site inaaminikambona nimeweka sitation ya wahusika au hujaona jina la miongoni mwa waliofanya hiyo kazi na ukidouble click unapata maelezo hayo hayo...
access ya siri moja wapo ni taarifa za monoclonol genetics ambayo nimekwambia ileta haoa kama nayo napakua wikipedia kama ulivyo wewe..sasa unasema document zako unazipata kwenye site zinazo aminika je hiyo site inaaminika
umesema document zako zinapatikana kwenye acces za siri je hiyo ndio acces ya siri
nenda ukapakue ulete hapa tena kuusu monoclonal genetics ambayo inahusika nankufanya hybrid ya viumbe kwa kuuhusisha non coding bases..pakua ulete hapa tumalize mchezo kila mtu afanye kazi zake..sasa unasema document zako unazipata kwenye site zinazo aminika je hiyo site inaaminika
umesema document zako zinapatikana kwenye acces za siri je hiyo ndio acces ya siri
mkuu,elimu ya maumbo na namba inaficha nguvu kubwa sana..
ndo mana Tesla anakwambia " if you would know the magnificance of numbers and symbols,you could change the world"..
Alikuwa anamanisha kitu kikubwa snaa..
siri za ulimwwngu huu zimefichwa katika maumbo na namba pamoja na herufi..
Moja inaandikwa 1, mbili inaandikwa 2 ,tatu inaandokwa 3 ,manake nini jinsi umbo la namba hizo linaleta nguvu flani katika energy spinning quatum ambapo linaunganisha moja kwa moja kati ya universal pattern na mahali namba il ilipo...
Kwa hiyo umbo kmaa pembe tatu lina maana kubwa snaa pale...
Kwa hiyo kila namba ina uzito wake katoka kusynchronize with the universal pattern..
Frequency energy ( Energy frequency) ya namba 3 ni ndogo kuliko energy frequency inayozalishwa na namba 6 ,same like kwa 9 kwa hiyo the more the numbers inakuwa kubwa ndipo uwezo wake unakuwa na value flani katika chaldean secret code interpretation..
subiri kwanza lazma nitafute detail nzuri ndio niletekuna mtu anapinga juu ya complicated monoclonal genome na nimemwambia alete maelezo yake hapa ila anazunguka zunguka tu...
hakuna sehemu nimesema aliens hawapo sawa nachopinga hapa ni kwamba sisi hatujaumbwa na aliensmake naona tunazidi kuzunguka tu...kuwa mwelewa ,umekataa uwepo wa aliens lakini ili hajadhibitisha kwanini unakataa..
.
Natamani nikutusi kwa utumbo hovyo ulioandika,sema tupo ktk jukwaa LA mawazo huru.Pole sana bado unahitaji kufanya utafiti zaidi utagundua MKUU wa Dunia ninani.
hii inadhihilisha kuwa kila kitu ni kupinga mpkaa ukae muda mrefu unapitia pitia ndo unakuja kutia maelezo...subiri kwanza lazma nitafute detail nzuri ndio nilete
ha ha ha ndo type zilezile na huyu jamaa anayeleta mambo toka wikipedia kama reference yake..Plan
-dx- Panic disoder
-psycho-education and reassurance
-diazepam 10mg daily
sasa bora mim source yangu wikipedia hata imekuwa indexed na search engineunategemea wikipedia kama msaada kwako...
utouti wako na wengine wanakukubali ni pale unapowazid kulata vitu toka wikipedia kama ulivyoenda sasa hivi kugoogle hiyo monoclonal ..
kaka kuwa mwelewa kama huna uelewa zaidi unakubali tu unapokea mambo mapya siyo kila kitu unawahi wikipedia..
ha ha ha ndo type zilezile na huyu jamaa anayeleta mambo toka wikipedia kama reference yake..
Aliyemwambia nani kama kila Scientific analysis wanatupia google...
aise panic disorder haijawahi kumwacha mtu salama...
ndo kwanza naisikia kwako damn...haaaaaah ..nilikuliza unaijua hujui...ni dhahiri huijui na hujui chochote kuhusaiana na monoclonal genetics umeendelea kuonesha undezi wako wa kupotea kwa muda unaenda tafuta tafuta huko....sasa bora mim source yangu wikipedia hata imekuwa indexed na search engine
wew hapo source yako ni gaia.com eti ndio msaada wako GAIA GAIA haijulikani ni commercial site au ni organization site yaan ni ujinga tuu
kiongozi labda uniambie nini kimekufanya uiamini GAIA (GAIA.COM)
Mkuu jibu maswali ya jamaa hapo juu.kiongoz sijamaanisha kwamba ninayo elimu ya form 6 tu ila nimeonesha kwa hizo point zako na viswali vyako kijana aliyepikwa form six atakujibu vizuri tu nawewe pia kaongeze elimu wewe unajua bios kama historia badala ya kujua fact za bios
hivi kaka kuna kitu chochote kiinachoweza kupitishwa na wanasayansi bila experiment?
nashangaa hapa kwako unafanya genetic kuwa pumba aise inabidi tukuitie form six wakujibu wala si mwanafunzi wa chuo kikuu hapa naona jua la utosi litakupata
sedation inawahusu watu kama hawa ,unawapiga low doses ya Antipsychotic + high dose ya antidepresant nahisi wakiamka wanakuwa sawa..Kusema natamani ningekutusi unaona tayari ana tatizo ndio maana nilikuambia kule pscychotic disoder inawapata kiasi kikubwa watu wa dini kuanzia shizophrenia,anxiety,depression,panic disoder
Hata mm nimegundua unacheza sana na hidden sites,za deep web,ndio huwa kuna nondo km zako,mkuu uko vzr mno nimesoma points zako zote ni nzito hasando kwanza naisikia kwako damn...haaaaaah ..nilikuliza unaijua hujui...ni dhahiri huijui na hujui chochote kuhusaiana na monoclonal genetics umeendelea kuonesha undezi wako wa kupotea kwa muda unaenda tafuta tafuta huko....
N.B nafunga mjadala na wew na siku nyingine usijaribu kulazimisha reference range yako kwa kutumia wikipedia..mtu anayejua mambo huwa habishani kwa kupotea potea na elimu yako ya kuunga unga juu ya biomolecular analysis...
Nilichokileta ni kidogo kulinganisha na nilichokifahamu na sijawahi kuwa nagoogle wikipedia kama ukivyo wew zaidi ya kucheza na hidden sites ambazo zinanifanya niamini baadhi ya mambo...
Full stop nakuomba ukale shule nene juu ya namna cloning inavyofanywa halafu uachane na maaelezo toka wikipedia kama reference point zako...
sio kila kitu kinawekwa wikipedia...ingekuwa ni hivo nadhani kila mtu angejua namna ya kuwatengeneza hata virus
wewe kweli bado upo local kabisa kama kweli wew msomaji hujui kuwa google wanapanel ya kupublish research basi wewe ni jipuha ha ha ndo type zilezile na huyu jamaa anayeleta mambo toka wikipedia kama reference yake..
Aliyemwambia nani kama kila Scientific analysis wanatupia google...
aise panic disorder haijawahi kumwacha mtu salama...
unapingaje wakati huna elimu yoyote hata jinsi cloning inavyofanywa ...??hakuna sehemu nimesema aliens hawapo sawa nachopinga hapa ni kwamba sisi hatujaumbwa na aliens