Nina ushahidi tosha juu ya watu waliopewa tuzo na Miradi mikubwa ya kutokomeza malaria pamoja Ukimwi ambapo ipo chini ya taasisi za kigeni ambazo zinakuja na kila kitu kisha zinawaingiza native au wenyeji kisha kuwapa semina mwisho wa siku wote mloopewa semina mnatunukiwa tuzo na hizo tuzo zinapambwa snaa kuwa hawa ndo mabingwa kutoka Africa waliotoa michango yao juu ya kutokemeza Malaria Tanzania na majina yao yanaingia World headline..jamaa pia hajachunguza kiongozi pitia huu uzi niliuandika zamani uniambie je bado watu weusi ni wakuzaraulika kama mkuu alivyozarau hapo
Wanasayansi wa kiafrika ndio wanaoikuza Amerika na Ulaya, kwanini wasiikuze Afrika yao? - JamiiForums
pitia hapa uone je kuna list ya wanasayansi wangapi kutoka africa wanafanya kazi kwenye maabara kubwa ulaya na amerca pia wengine ni malecturer wa vyuo vikuuu maarufu duniani huku wngine ni maengeneer ndipo urudi hapaHalafu unaposema kuwa nimejishusha sijui kwa kuzalau ngozi nyeusi kwamba haiwezi kuhoji alichofanya mzungu,ni kweli nina uhakika wa asilimia mia moja kuwa wew ngozi nyeusi huna kiwango cha kupinga analysis aliyoifanya mzungu..
tatizo si mtu mweusi kupinga! jambo muhimu huo uchambuzi wa kigenetic eti mwanadamu ameumbwa na aliens umepingwa na wazungu wenzakeNipe list ya mtu mweusi aliyepinga Genetic analysis zilizotolewa na mzungu na akapublishi upingaji wake na ukapindua publishment za wale watu..
kuna hawa wanasayansi wawili wa egypt wamefanya mapinduzi makubwa huo ni mfano tu ila wapo wengiTusibishane kwa sifa ,tangu lini sisi Africa tumepinga kwa actual facts ??
Nieleze hiyo experience ya kupinga facts za wale jamaaa ...!!.
hii si pointWewe mwenyewe pamoja na kusoma soma kwako umeishia kusoma curriculum za wale jamaa kwanini hatujawahi kukuona unapinga kilichoandikwa halafu hapa JF ndo unajifanya kama unapinga kwa facts wakati huna historia ya kupinga...
Weka ushabiki pembeni tutembeee na actual analysis ambayo umewahi kuifanyia kazi au imewahi kufanyiwa kazi na ngozi nyeusi mpaka ikapita kwenye balaza la usahihi na kuivert postulates za wale jamaa..
sasa huu upande niliopo mimi ndio wenye ukweli ninavyoamini na wew upande wako ndio unaamini kuna ukweli dhibitishanapenda kuheshimu michango ya watubna kwa hili ninaheshimu pia but be to the side of truth tusijekuwa tunabishana ili hali tunashindwa kupeana elimu mpya au kuongezeana mambo..
But the real actual facts ni kwamba hatujawahi kupinga kwa facts zenye level ya molecular hasa kwenye molecular ..
Usibishi kwa sifa ila tuelewane vizuri mkuu,wew mwenyewe ni mojawapo ya ushahidi juu ya hilo kama unapinga niambie...
unaelewa kitu nilichokuandikia pale juu mkuu kuwa kwanini hizo gunduzi zimefanyika wakiwa tayari kwenyr tasisi husika na sio mazingira ya nyumbani..??pitia hapa uone je kuna list ya wanasayansi wangapi kutoka africa wanafanya kazi kwenye maabara kubwa ulaya na amerca pia wengine ni malecturer wa vyuo vikuuu maarufu duniani huku wngine ni maengeneer ndipo urudi hapa
Wanasayansi wa kiafrika ndio wanaoikuza Amerika na Ulaya, kwanini wasiikuze Afrika yao? - JamiiForums
tatizo si mtu mweusi kupinga! jambo muhimu huo uchambuzi wa kigenetic eti mwanadamu ameumbwa na aliens umepingwa na wazungu wenzake
kuna hawa wanasayansi wawili wa egypt wamefanya mapinduzi makubwa huo ni mfano tu ila wapo wengi
1. Euclid of Alexandria
huyu ni founder wa geometry ni mzaliwa wa egypt
amefanya kazi katika European Space Agency's (ESA) na ameunda euclid space craft
2. Sameera Moussa
huyu ni ni mwanafizikia aliyebobea kwenye maswala ya nyukilia na ni mzawa wa egypty ana doctorate ya atomic radiation na alifia huko California, united state
hii si point
kupinga curriculum tz unatakiwa upate nafasi kwenye media pia kingine hata ukipinga hausikilizwi
hivi unafikiri malecturer huko vyuoni hawawambi waalimu wa tz kuwa curriculum ni overloaded ila wakubaliane na hali tu
muafirika wa morroco huyo
Rachid Yazami
huyi ni morocan alifanya research kuhusu lithium battery na graphite anode anafanya kazi katika French National Centre for Scientific Research (CNRS) ni wa kwaza kugundua intercalation ya lithium kwenye graphite katika electrochemical cell
sasa huu upande niliopo mimi ndio wenye ukweli ninavyoamini na wew upande wako ndio unaamini kuna ukweli dhibitisha
naona unataka kuhama kwenye mada hiyo mada ilikuwa kwenye uzi wangu si huku hivyo tuiacheHalafu hao wanasayansi waliyoikuza ulaya kama unavyodai ,umewahinkujiukiza kama michango yao inatolewa katika mazingira gani..??
Je ni mazingira wakiwa Africa au wakiwa katika taasisi za kizungu??
mara ngapi watu wanafanya tafiti wakiwa na wazungu lakini mwisho wa siku wazungu wanakupa tips za kufanya na unajiongezea maarifa ila kinachokuja kube published ni kuwa umegundua...unahisi sijui mode ya kumtunuku tuzo hasa mtu mweusi..??
Leta taarifa zilizopingwa na mwafrica..si unajiona mjanja kwenda kupakua wikipedia list hizo..kapakue tens ulete list ya wao ndugu zako waliopinga molecular analysis...sasa akili yako ndogo kwahiyo wataka kusema kila alichokiandika mtu mweupe kuhusu molecular biology yupo sawa?
Aliens wamemprogram mwanadam and other speciea for a purpose...naona unataka kuhama kwenye mada hiyo mada ilikuwa kwenye uzi wangu si huku hivyo tuiache
just tuendelee na hii je ni kweli aliens wamewaumba wanadamu? hapa ndipo umeshindwa kutoa fact
Sijahama mada ila ninakujibu according to sitation unazoleta..umeleta evidence kwa kutumia hilo bandiko lako ndo mana nimekupinga kupitia bandiko lako au uliataka nikupinge kwa kutumia nini wakti umekuja na ushahid wako...ndo amna nimekupinga kwemye hilo swala la kupewa tuzo...kwani mara ngapi watu wnaashiriki semina kisha CV zinaandikwa kuwa wao ndo wabunifu!! mkuu na hilo unakataa tena..ukitaka kuamini kwanini mpaka leo hakuna lolote linaloendelea Africa if at ol we had geniuz people..??naona unataka kuhama kwenye mada hiyo mada ilikuwa kwenye uzi wangu si huku hivyo tuiache
just tuendelee na hii je ni kweli aliens wamewaumba wanadamu? hapa ndipo umeshindwa kutoa fact
ngoja nilete source yako uliyotumia ukafanya tanslation na kuja kupost huo ujinga hapa sasa sijui utasema nayo ni acces ya siri au vpLeta taarifa zilizopingwa na mwafrica..si unajiona mjanja kwenda kupakua wikipedia list hizo..kapakue tens ulete list ya wao ndugu zako waliopinga molecular analysis...
Findings zimewekwa google sijakataa but hilo la monoclonal genome halipo google nina uhakika na ukitaka documents nitakupa ila kuwa muwazi na ukiri kuwa hujui chochotr kuhusu molecular scientific findings kuhusiana na mambo ya cloning...ngoja nilete source yako uliyotumia ukafanya tanslation na kuja kupost huo ujinga hapa sasa sijui utasema nayo ni acces ya siri au vp
wewe endelea kutumia wikipedia kuwa unatuletea hapa list zako ila mimi nitatumia specified document na kama unabisha nitakuwekea hapa..ila kabla sijaweka dhibitisha kuwa source yako ni wikipedia na sio kingine hapo tutaelewanangoja nilete source yako uliyotumia ukafanya tanslation na kuja kupost huo ujinga hapa sasa sijui utasema nayo ni acces ya siri au vp
ndio ni wikipedia na site nyingine moja siikumbuki now ila kwanini nibishe kitu ambacho kipo waziwewe endelea kutumia wikipedia kuwa unatuletea hapa list zako ila mimi nitatumia specified document na kama unabisha nitakuwekea hapa..ila kabla sijaweka dhibitisha kuwa source yako ni wikipedia na sio kingine hapo tutaelewana
Mkuu hapa swali la kati ya mzazi au mtoto anapozaliwa nani anakuwa ktk reflection of illusion hujanijibu. Au labda tumia lugha rahisi. Shukrani .ili uweze kuishi katika real life perception ni lazima uthink out of ilusion...
your physical perceptions zinarelay kwenyr two life form of existance..
1).Real life with no ilusion ambapo utaweza kupercive vitu katika high dimension by using subconcioua from of interpretations..here you percive things by reality na space time inakuwa collapsed ..time and space haiexist tena ..but you need to train your mind under subconcious level of realm..
2).Real life according to mental ilusion created by your concious enveronment..mara nying hapa mtu unakuwa unaexist katika low form of dimensions na hapa reality huwezi kuiona..utakuwa kila unachokifanya unasubilia majibu tofauti na real life under higher dimensions
hiyo milion moja unayo sasa mpe invisible aishike hiyo pesa nitakupa majibu ya swali lako hakuna kitu kinachokosekana google kiongozi mpaka hapo ulipfikia wewe hujui kutumia google vizuriFindings zimewekwa google sijakataa but hilo la monoclonal genome halipo google nina uhakika na ukitaka documents nitakupa ila kuwa muwazi na ukiri kuwa hujui chochotr kuhusu molecular scientific findings kuhusiana na mambo ya cloning...
tafuta popotr google kama ukikutana na maelezo ya namna ya kufanya cloning mimi nitakupa milioni moja pesa taslim..,
😳😳huyo ni upupu ltdMkuu hapa swali la kati ya mzazi au mtoto anapozaliwa nani anakuwa ktk reflection of illusion hujanijibu. Au labda tumia lugha rahisi. Shukrani .
mbona nimeweka sitation ya wahusika au hujaona jina la miongoni mwa waliofanya hiyo kazi na ukidouble click unapata maelezo hayo hayo...source za hii historia yako ni hapa ndio unajikuta mjanja eti umechimba kumbe ulichofanya ni kucopy na kutranslate basi
1.
Where Did Humans Originate?
2.
Did Extraterrestrials Genetically Engineer Humans?
wanajf pitieni hapo then mniambie kama huyu jamaa kuna research amefanya au ameamua kukopi na kupaste kutoka kwenye hiyo site
tena kupaste kwake kafanya translation kwanza kwa kutumia cjui google tanslator article ikaja ndio hiyo haina hata umbo
hata kufanya citation ya hiyo cite haujafanya then unasema ni akili yako eti umechimba just dz a plagiarism
nikikulizwa swali juu monoclonal genomic kama unaifahamu na kama unaifahamu nambie tukate mzizi wa fitina hapa...hiyo milion moja unayo sasa mpe invisible aishike hiyo pesa nitakupa majibu ya swali lako hakuna kitu kinachokosekana google kiongozi mpaka hapo ulipfikia wewe hujui kutumia google vizuri
cjaona experiment yoyote uliyoelezea hapa zaidi ya historyAliens wamemprogram mwanadam and other speciea for a purpose...
Ni nimekutolea na ufafanuzi vizuri kwa kubase na molecular genetic za non coding Bases...
Bado na experiment zimefanywa na kundi la hao watu na wakatoa findings zao...
Je kwanini unakataaa kuwa ni waongo...nipe molecular evidence..
nimekwambia kuwa kama monoclonal facts zingekuwa zinawekwa google kama unavyoweza kupakua na kuleta nahsi kila nchi duniani ingekuwa na utaalamu wa kufanya complicated cloning...hiyo milion moja unayo sasa mpe invisible aishike hiyo pesa nitakupa majibu ya swali lako hakuna kitu kinachokosekana google kiongozi mpaka hapo ulipfikia wewe hujui kutumia google vizuri