Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,849
- 2,442
Watu wana ubishi wa kipuuzi humu sikuizi kuna kubisha kwa kujifunza,lakini humu wanakomoa tuu ndomana nyuzi nyingi zinaishia njiani kwa mtu kuona anakereka.acha kupinga kwa facts ambazo ni za kisiasa...nimekuliza swali moja tu kuwa kama unakataaa hizo results za molecular analysis tupe kazi ya hizo non coding DNA bases...!!
unadig around the bush www jamaa...umekomaliza kupinga halafu evidence za upande wa pili huelezei...
kama unakataaa kuwa non DNA bases sio Aliens product nini kazi yake kama kweli una elimu ya molecular Analysis...
Acha kupinga kwa kuquote phrases,pinga kwa facts...umekomaaa nilete evidence wakati moja wapo ya evidence ni hiyo kazi iliyofanywa na hao jamaaa na nimekuwekea mpaka sitation na unaweza ukagoogle ukasoma walichiconclude au wew unataka nitoe majibu yangu au...??
Tatizo la ngozi nyeusi hamtaki kuelewa mambo unawezaje kuwapinga hao jamaaa wakati umeukizwa swali moja tu kuwa unajua kazi ya Non coding DNA BASES unakimbia unakomaaa kupinga...
Yangu 8 mkuu ikoje hii.ha ha ha 11 ni special number mkuu..you are lucky aise....
anapinga kwa kuquote mistali kibao ili uonekane uko wrong lakini yeye kaulizwa swali moja tu kaomba siku mzima...Watu wana ubishi wa kipuuzi humu sikuizi kuna kubisha kwa kujifunza,lakini humu wanakomoa tuu ndomana nyuzi nyingi zinaishia njiani kwa mtu kuona anakereka.
kiongoz sijamaanisha kwamba ninayo elimu ya form 6 tu ila nimeonesha kwa hizo point zako na viswali vyako kijana aliyepikwa form six atakujibu vizuri tu nawewe pia kaongeze elimu wewe unajua bios kama historia badala ya kujua fact za bioshilo la kusoma sana nahisi unalisema wew mwwnyew na sijawahi kutaja elimu au kiwango changu cha elimu kama unavyofanya wewe...
kama unaona ni shida kuleta proof basi ukae ukijua hiyo elimu yako kaiongeze tena na kama umekiri kuwa unakiwango cha form 6 sijui 4 unawezaje kupinga facts walizofanya wenzio wenye PHD au unafikiri unaweza kosoa scientific analysis katoka molecular level ili hali ukiwa na form 6 ...??
mbona nazidi kukushangaaa sasa mkuu...!!?
.
[emoji1][emoji1][emoji1] ngumbaru wengi ndivyo walivyoKuna vya kuhoji sio kukomoana.
Njoo nazo nyingi na Mimi nahitajiSaa 3:00 pm [emoji3]
Nakuja na njugumawe popcorn sio pahala pake [emoji16][emoji16]
nimekujibu tayariacha kupinga kwa facts ambazo ni za kisiasa...nimekuliza swali moja tu kuwa kama unakataaa hizo results za molecular analysis tupe kazi ya hizo non coding DNA bases...!!
nilichofanya nimekuuliza maswali ujibu sijakupinga ila ukishindwa kujibu hayo maswali inamaanisha haujasoma vizuri kuhusu uzi wako na huenda ulishoandika ni historia kama ya wakina vasco dagamaunadig around the bush www jamaa...umekomaliza kupinga halafu evidence za upande wa pili huelezei...
kwahiyo ngozi nyeusi haziwezi kupinga watu weupe aise kiongozi umejishusha sana kuna wazungu pia akili hawana kabisa wanapublish ujinga tu mtandaoni sasa mtz akija kuona hizo post zao anaamini kweli kilichoandikwa ni fact kumbe ni upupu mtupuTatizo la ngozi nyeusi hamtaki kuelewa mambo unawezaje kuwapinga hao jamaaa
finding zipi umeleta zaidi ya kuandika historia zenye maneno mengi ya (huenda or inasemekana) hivi unajua maana ya findingau nini maaana ya mtu kuleta findings hapa JF ??
kama unakataaa findings basi study hiyo umeifanya basi tupo opositr findings sio kupinga wakati unashindwa kuelezea katika molecular level..
usiseme tunatengeneza viumbe wapya hakuna mwanadamu aliyeweza kutengeneza kiumbe kama tumeshindwa kutengeneza cell au organ je kiumbe tutaweza kutengeneza?Kitu kingine cha kunipa evidence kuwa Aliens ni hoax mbona nimekwambia tunatumia monoclonal genome kutengenezea artificial progen za viumbe wapya wenye advanced characteristics??
nipe reference au cite source inayoeleweka ambayo itadhibitisha tunatumia foreign DNAkwanini hatutumiii native DNA strands za hapa duniani..??
ninakwambia hili kwa sababu nina evidence nalo au na hili unakataa..??
through manipulation of gene mfano gene labda wanyama hawa wanokuwa haraka kuliko wale wa asili wamefanyiwa mnyumbulisho kwenye gene so wameongezewa gene nyingi zinazohusika na ukuajina kamaa unakataa nieleze au tueleze Monoclonal genomic strands analysis inafanyikaje au unaona kama clonned species wanakuja kizembe tu...?
kiongozi biochemistry hiyo ndiyo inatumika hapo sawa na field nyingine zitakazo husika ni genetic engineering and molecular biologyNidhibitishie na hilo la monoclonal genome bases wanazipataje au kama hujui nambie nikuelekeze ilivyo ..
wewe pia ukae kimya hujui unachokiandikana nikikuelkeza inabidi ukae kimya na kukubali kuwa hujui chochote kuhusu cloning mechanism ya new genomic strand ya artificial recreated speicies..
Asante mkuu una ukomavu wa akili usipanic ili umjibu hoja zake vizuri maana yeye kashapanic na kuleta kasha humu kwa mtu mweusinimekujibu tayari
nilichofanya nimekuuliza maswali ujibu sijakupinga ila ukishindwa kujibu hayo maswali inamaanisha haujasoma vizuri kuhusu uzi wako na huenda ulishoandika ni historia kama ya wakina vasco dagama
kwahiyo ngozi nyeusi haziwezi kupinga watu weupe aise kiongozi umejishusha sana kuna wazungu pia akili hawana kabisa wanapublish ujinga tu mtandaoni sasa mtz akija kuona hizo post zao anaamini kweli kilichoandikwa ni fact kumbe ni upupu mtupu
Mkuu tumekuelewa tunakusubiri muda huo tukiwa tumeshashiba na kumaliza kazi za kulijenga taifakiongozi tukutane saa tisa
wadau niwajuze hapa Jf hatukomoani badala yake ni tunakomazana kwenye issue za reasoning
Nimekuita ngozi nyeusi unayepinga analysis waliyoifanya wenzio na umeshindwa kuitolewa ufafanuzi wa kupinga...nimekujibu tayari
nilichofanya nimekuuliza maswali ujibu sijakupinga ila ukishindwa kujibu hayo maswali inamaanisha haujasoma vizuri kuhusu uzi wako na huenda ulishoandika ni historia kama ya wakina vasco dagama
kwahiyo ngozi nyeusi haziwezi kupinga watu weupe aise kiongozi umejishusha sana kuna wazungu pia akili hawana kabisa wanapublish ujinga tu mtandaoni sasa mtz akija kuona hizo post zao anaamini kweli kilichoandikwa ni fact kumbe ni upupu mtupu
hakuna mtu aliyepanic mkuu,hizo facts anazotoa hajawahinkufanya hata analysis moja ya kupinga na ikakubalika kwanini akatae analysis za wengine..Asante mkuu una ukomavu wa akili usipanic ili umjibu hoja zake vizuri maana yeye kashapanic na kuleta kasha humu kwa mtu mweusi
jamaa pia hajachunguza kiongozi pitia huu uzi niliuandika zamani uniambie je bado watu weusi ni wakuzaraulika kama mkuu alivyozarau hapoAsante mkuu una ukomavu wa akili usipanic ili umjibu hoja zake vizuri maana yeye kashapanic na kuleta kasha humu kwa mtu mweusi
Tunashindwa kuelewana ,ninaongelea kuhusu kupinga analysis...hao watu au list unayoitoa au uliyoitoa ni list ya watu waliotoa michango yao katika sehemu waliofanyia kazi....jamaa pia hajachunguza kiongozi pitia huu uzi niliuandika zamani uniambie je bado watu weusi ni wakuzaraulika kama mkuu alivyozarau hapo
Wanasayansi wa kiafrika ndio wanaoikuza Amerika na Ulaya, kwanini wasiikuze Afrika yao? - JamiiForums
umekiri ee....finding zipi umeleta zaidi ya kuandika historia zenye maneno mengi ya (huenda or inasemekana) hivi unajua maana ya finding
usiseme tunatengeneza viumbe wapya hakuna mwanadamu aliyeweza kutengeneza kiumbe kama tumeshindwa kutengeneza cell au organ je kiumbe tutaweza kutengeneza?
kinachofanywa na mwanadamu ni manipulation ya gene za viumbe waliopo (kunyumbua) na hicho kitendo kinaitwa genetic engineering
nipe reference au cite source inayoeleweka ambayo itadhibitisha tunatumia foreign DNA
through manipulation of gene mfano gene labda wanyama hawa wanokuwa haraka kuliko wale wa asili wamefanyiwa mnyumbulisho kwenye gene so wameongezewa gene nyingi zinazohusika na ukuaji
kiongozi biochemistry hiyo ndiyo inatumika hapo sawa na field nyingine zitakazo husika ni genetic engineering and molecular biology
wewe pia ukae kimya hujui unachokiandika
Halafu hao wanasayansi waliyoikuza ulaya kama unavyodai ,umewahinkujiukiza kama michango yao inatolewa katika mazingira gani..??sasa ngoja niendelee kukujibu sasa wala isiwe saa tisa tena