Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,467
- 513
Mi ikifika tarehe 25 kama hawajanidoshea huwa ckanyagi ng'oo..
Hali hii ilishasemwa na Zitto Kabwe ili kujikosha wakawa wanatulipa tarehe 25 kwa muda wa miezi minne sasa hivi wako hhoi bin taaban tunalipwa kati ya tarehe 36 na 38!
Utatimuliwa kazini na utajajuta baadaye!
Utatimuliwa kazini na utajajuta baadaye!