prominent guerilla leaders

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
3,140
Reaction score
2,269
1.ernesto che guevara
ni guerilla leader and fighter maarufu duniani akitumia small but well trained terrorist band which he called them "focos"
 

Attachments

  • wanarevltnrs.jpg
    42.5 KB · Views: 193
  • Che-Guevara-che-guevara-30524287-360-305.jpg
    14.5 KB · Views: 285
2.jonas savimbi
huyu bwana alikua mtata sana. ni mzaliwa wa Angola, alipata mafunzo ya u-guerilla nchini china na inadaiwa kuwa he is the most successful guerilla leader of 20th c
 

Attachments

  • 401px-Savimbiparleur1.jpg
    70.4 KB · Views: 142
  • savimbi.jpeg
    11.3 KB · Views: 134
  • dr savimbi.jpeg
    8.7 KB · Views: 476
  • vimmbi.jpeg
    8.6 KB · Views: 479
  • vimbii.jpeg
    6.7 KB · Views: 141
savimbi akiwa na mzee mandela
 

Attachments

  • na mzee mandela.jpeg
    8.4 KB · Views: 143
hatimae akauawa mwaka 2002
 

Attachments

  • dead vimbi2.jpeg
    4.1 KB · Views: 442
  • dead vimbi3.jpeg
    9.3 KB · Views: 130
  • dead vimbi1.jpeg
    3.2 KB · Views: 443
3. john garang
huyu ni msomi wa kiwango cha PhD, alikuwa mwanajeshi wa ngazi za juu katika jeshi la sudan. miaka ya 1980 akatumwa kwenda kuwasambaratisha waasi ambao walikua wanaipinga serikali ya sudani wakiwa maeneo ya kusini(sasa ni jamhuri ya sudani kusini) lakini badala yake garang akaamua kuungana na waasi hao kudai uhuru wa eneo la kusini
 

Attachments

  • garangggggg.jpeg
    2.5 KB · Views: 433
  • ggarang.jpeg
    2.3 KB · Views: 427
akiwa hana habari yoyote, garang anaingia ndani ya chopper ambalo lilienda kumuua
 

Attachments

  • john.jpg
    13.6 KB · Views: 149
4. joseph kony
huyu mwanamume wa kiganda naye ni mtata kweli.
yeye ni jenerali anayeongoza kikundi kiitwacho lord resistance army(LRA). madai yao ya msingi ni kwamba wanataka uganda iongozwe kwa kufuata sheria 10 za Mungu(zile sheria alizokabidhiwa nabii mussa na MUNGU), lakini cha ajabu yeye mwenyewe amekua akizikiuka hizo sheria 10 za Mungu kwa kuua na kutesa watu
 

Attachments

  • joseph-kony-lra-leader-with-his-commandersa-24.05.jpg
    49.5 KB · Views: 127
  • guerilla kony.jpeg
    54.6 KB · Views: 108
  • kony with children.jpg
    35.3 KB · Views: 138
  • cony and otti.jpeg
    10.2 KB · Views: 121
  • che kony.jpg
    27.4 KB · Views: 126
huyu ni luten jenerali vincent ottii, kamanda wa pili kwenye ranks za LRA baada ya kony, aliuawa na kony eti kwa sababu tu alikwenda kushiriki mazungumzo ya amani na serikali ya museveni. kony anaamini kuwa mtu yeyote anayeamini katika mazungumzo ya amani, basi huuawa na wapinzani wake kama alivyouawa john garang.yeye hataki kuskia kitu kinachoitwa mazungumzo ya amani
 

Attachments

  • vincent otti.jpeg
    11.9 KB · Views: 127
Nimevutiwa saana na haya mastori Voice_of_mtwara safi saana endelea kushusha vitu...
 
Last edited by a moderator:
5. Velupllai prabhakaran
hii njemba ni kutoka Srilanka, alikua kiongozi wa kikundi maarufu cha waasi wa TAMIL TIGERS. madai yao ni kutaka kujitenga na nchi ya Srilanka. wamepambana na majeshi ya serikali toka miaka ya sabini, ili kupata fedha za kujiendesha walilazimika kuteka na kupora kwenye banks na kuuza madawa ya kulevya

kati ya matukio makubwa waliyowahi kuyafanya ni pamoja na kumuua waziri mkuu wa india bwana Rajiv Gandhi kwa kosa la kuingilia siasa za srilanka, hiyo ilikua mwaka 1991. mwaka 1993 wakamuua rais wa srilanka bwana Ranasinghe Premadasa.
hatimaye mwaka 2009 majeshi ya serikali yakafanikiwa kumuua prabhakaran na makamanda wake na kukitokomeza kabisa kikundi cha TAMIL TIGERS
 

Attachments

  • tamil_tigers_leader_velupillai_prabhakaran_cu.jpg_480_480_0_64000_0_1_0.jpg
    24.8 KB · Views: 106
  • rakrn1.jpeg
    12.6 KB · Views: 94
  • rakrn.jpeg
    7.5 KB · Views: 90
  • prabhakaran.jpg
    17.4 KB · Views: 98
6. ALFONSO CANO
jina lake kamili ni Guillermo Leon Saenz Vergas, alikua kiongozi wa waasi wa FARC(Fuerzas Armadas Revolucionarias de Colombia au kwa kizungu revolutionary armed forces of colombia)
lengo lao kubwa ni kutaka colombia iongozwe kwa mfumo wa kikomunisti. waliwapigania maskini dhidi ya mabeberu wa colombia pia walipinga ushawishi wa marekani nchini mwao.

ili kupata pesa za kukiendesha kikundi, waliuza dawa za kulevya, kutoza kodi kwenye maeneo waliyoyatawala, na kuwauza mateka waliokuwa wanawashikilia. pia inadaiwa kuwa comrade Hugo chavez rais wa zamani wa venezuela alikua anawapa msaada wa fedha

alfonso cano aliuawa kwa kupigwa risasi na majeshi ya serikali mwaka 2011
 

Attachments

  • 87950525-canos-real.jpg
    38.4 KB · Views: 73
  • alfonso_cano.jpg
    15.1 KB · Views: 80
  • FARC.jpg
    35.4 KB · Views: 82
  • FarcLeaders.jpg
    26.5 KB · Views: 118
  • FARRC.jpeg
    6.3 KB · Views: 298
macomrade hao
 

Attachments

  • reyes_raul.jpg
    29.7 KB · Views: 71
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…