JS huelewi nini tena wewe si ndo mshika kikapu au nakosea (pls correct me)
Duh!! na vile vikao vya mwisho mwisho navyo haudhuri? au labda yuko busy na mafundisho (kanisani) na steps za kutembea ha ha ha , ile siku you need enough courage.Hujakosea Lily mie ndo mshika kikapu ila mwenye shughuli kawa kimya sana sijui yuko hai au la au ndo anajikaza kisabuni na tai yake shingoni na send off ni wiki hii sijui jtano au alh na jmosi harusi
...Kipindi kigumu sana hiki mkuu. mtu anaweza kujilaumu kwa nini alitangaza ndoa....Ooh! Pole Geoff kaza roho jamaa yangu....hiari hushinda utumwa!!!When a man is about to loose his degree...
that how they becaome.......silent
I think my the concerned people should discuss the kind of gift our groom wants (our coordinater-Kaizer do the needful) coordinate the discussion on the gift and who should do what
Yaani ni kama ulikuwa kichwani kwangu
in fact ni kwamba leo tukutane pale kwa ankal saa 12 jioni,, tufinalise yafuatayo,
1. Michango,
2. Send off (watakaoenda)
3. Safari ya Makambako kwa watakaoenda,
4.Zawadi ya Bwana Harusi MTARAJIWA from Wapwaz.
Asanteni, Naomba mahudhuri yenu kama kawaida
Ndo wapi hapo tena??? halafu na nyie bana kwa kuchagua sehemu zilizo barabarani siwawezi mna hisa ile sehemu au????
It is understood mkuu!!Wakuu Geoff yupo busy sana na final preparation si mnjua amehandle kila kitu yeye so yupo busy sana
It is understood mkuu!!
These are moments he will remember later and tell his wifey, unakumbuka siku ile uliniambia mara kumi nisisahau kupitia kwenye lile duka, mm nikasahau!!! ahahahaaaa!
What do u mean?Wakuu Geoff yupo busy sana na final preparation si mnjua amehandle kila kitu yeye so yupo busy sana
Sandals...ooohhh ..sorry, Send-off this week, in-Dar.
This Geoff-guy is somehow silent...!
Sijui anapanic panic?
Any married buddy out there..Moral support to this fellow!
Hujakosea Lily mie ndo mshika kikapu ila mwenye shughuli kawa kimya sana sijui yuko hai au la au ndo anajikaza kisabuni na tai yake shingoni na send off ni wiki hii sijui jtano au alh na jmosi harusi
.......he!he!he!labda kakumbwa na ''HAITI''!Alafu mkuu mchango wako mhimu sana mkuu huyu ni mwanafamilia wa Consolata naona kimyaa
Wakuu Geoff yupo busy sana na final preparation si mnjua amehandle kila kitu yeye so yupo busy sana