Projector

Projector

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
304
Reaction score
14
Nahitaji used projector ya kununua. Elezea bei na specifications zake alafu nitajua kama inanifaa.
Niko dsm
 
mkuu, wewe ndiyo unataka projector so, nivema kama ungesema specification zako then sisi tungesama bei tu na kama ni new au used.
 
check na huyu bwana anazo nyngi sana, namaba yake 0752 858693 / 0714 34 5958
 
Mimi pia nataka kununua projector kwa matumizi ya nyumbani ila kusema kweli sina idea nazo naomba ushauri ninunue aina gani na ambayo sio ya bei ghali.
 
Nahitaji projector ya kununua. Elezea bei na specifications zake alafu nitajua kama inanifaa
Mbona adhabu hiyo! Yaani kama muuzaji anazo aina tofauti 20 aelezee zote?

Nenda mitandaoni chagua inayokufaa ulete model yake hapa na kuuliza mwenye nayo na bei?
 
Mimi pia nataka kununua projector kwa matumizi ya nyumbani ila kusema kweli sina idea nazo naomba ushauri ninunue aina gani na ambayo sio ya bei ghali.

Well wewe umeeleweka. Watakuelewesha bila shaka

Ila kwanini usigoogle na kujisomea mwenyewe types of projectors?
 
Wewe unayetafuta sema unataka yenye sifa gani upatiwe tena sasa zipo kwenye winter sale ntainunua na kuituma kama upo serious leta specification ya kitu utakacho...you can pm or text 00971504374387 ntakusaidia kupata...dubai
 
Mkuu niko flexible tu we taja uliyonayo.
 
Nadhani kaka unatafuta kitu husichokijua...unataka yenye uwezo wa kuonyesha ukumbini au kwa ajiri ya training tu ya watu kama 15 fanya utafiti au kama unataka kuonyeshea mpira nk
 
NEC projector for sale with plenty of bulb life
piga simu 0712652110 mwenyewe niko ughaibuni
 
No kwa ajili ya traing chumba kama cha watu 10
 
Projector inauzwa imetumika kidogo,ipo katika hali nzuri bila tatizo lolote bei 450,000.
General specifications:
Product name: ACCO Europe NOBO Projector
Model: S22E
Aspect ratio: 4:3
Brightness: 2200 ANSI Lumens
Contrast ratio: 2000:1
Display type: DLP Display Technology
Resolution: SVGA(800X600)
Size(weight): 2kg
Audible noise: 32db(normal),30db(Ecomode)
Lamplife: 2000hrs(normal),3000hrs(Ecomode)

Additional features:
-Ecomode facility to extend lamplife and reduce noise for quieter presentations
-Security with password protection
 
Mimi pia nataka kununua projector kwa matumizi ya nyumbani ila kusema kweli sina idea nazo naomba ushauri ninunue aina gani na ambayo sio ya bei ghali.[/QUOTE
Mimi pia nataka kununua projector kwa matumizi ya nyumbani ila kusema kweli sina idea nazo naomba ushauri ninunue aina gani na ambayo sio ya bei ghali.
mkuu ulishapataga projector,?
 
Kuna projector inauzwa Ndogo kaanzia 300 ila anashuka ni aina ya Philips 0762612213
IMG_20180714_151803.jpg
 
Back
Top Bottom