1. kwa mchana unahitaji lumens nyingi kadri iwezekanavyo pengine 3000 ama zaidi, hizi lumens ndio mwanga wa ile taa, jinsi unavyokuwa mkali ndio jinsi picha itakavyoonekana mchana kwa ufasaha.
2. sababu umbali unafika mita 25 majority ya projector yataweza kuonesha ukubwa wa mita 2.
3.projector zina resolution za namna mbili, native resolution na resolution ya kuproject, kuwa makini huwa wanatangaza resolution za projection tu ambayo haina maana kama native resolution ni ndogo, inatakiwa angalau umekosa kabisa na budget ni ndogo native resolution iwe hd ama 1280x720, ikiwa full HD itapendeza zaidi na kama mfuko upo vizuri 4k ni bora zaidi, muhimu native resolution na sio resolution ya kuproject.
wengine watakuja kuongezea