Nikikuletea mteja kwa laki 3 unanipa ngapi?😁😁unaua mzee..double it iwe mifuko miwili
Mkuu honestly naiuza nikiwa na shida ya hiyo laki 3..nitakushukuru sana kama wewe utamtajia cha juu ili mimi niipate laki 3 kamili..Nikikuletea mteja kwa laki 3 unanipa ngapi?
Nakukumbuka sana mkuu ile projector nyingine uliiomba kwa elfu 50, mwenyewe kakubali, mi nikaiuza kwa 130.Inaweza kutumika kuonyeshea mpira?
Mrejesho?Pamoja mkuu, tukiiuza utafurahi..tuombe kheri iwe mwanzo wa kufanya biashara nyingine nyingi
Life span yake Ni masaa mangapi mkuu.?View attachment 2008737View attachment 2008738View attachment 2008739
View attachment 2008741
Hizi picha zitasummarize majibu ya baadhi ya maswali ninayoulizwa PM
Iko vzr sana mkuu.Life span ya LED BULB Ni masaa elf 20 (20,000hrs) ..unaweza ukasoma specifications hapa chini
View attachment 2008779View attachment 2008780
View attachment 2008778
Uko wapi nichukue hiyo bidhaa ?View attachment 2008737View attachment 2008738View attachment 2008739
View attachment 2008741
Hizi picha zitasummarize majibu ya baadhi ya maswali ninayoulizwa PM