Kama unahitaji uendelee na kazi zako huku ukisoma M.A-M&E Open University of TzPost graduate
Hujatoa taarifa za kutosha. Level gani? Certification au degree/diploma.Waku Habarini
Mwenye kujua chuo kizuri na chenye unafuu kwenye Ada, naomba anisaidie.
Nataka kufanya Project Management, Course, ie, PMP, PrinceII
Hivi UDOM gharama nafuu kivipi? Juzi nimeangalja Msc za engineering kuna kozi zinachezea 8mil wakati pale ARU kozi hiyo hiyo ni around 4.5mil?UDOM panakufaa zaidi kwahyo PM course, na pia ada ni nafuu
Naona watu wengi wamejibu lakini sidhani kama mliweza kuelewana. Pengine haujakuwa clear unataka nini hasa.Waku Habarini
Mwenye kujua chuo kizuri na chenye unafuu kwenye Ada, naomba anisaidie.
Nataka kufanya Project Management, Course, ie, PMP, PrinceII