isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
Safi sana! Mie nipo GIMP, Inkscape, Krita na Photoscape.Mfuasi wa Coreldraw kindakindaki hapa😀
Kazi nzuri 👌👌💯💥GIMP inanipa urahisi katika kutengeneza Chapa 'Logo' na Kubuni mavazi.
Hakika, 99 percent of life is Art the lest is what life means.Safi sana kiongozi nimependa ufanisi wake.. nikiwa na pc nitaitafuta hii software.. Napenda ubunifu
Ooops! Binafsi Adobe Photoshop not only PS but Adobe products zipo complicated aisee.Hii GIMP nimeinstall kwenye PC yangu lakini nimeshindwa kabisa kuitumia kuchora picha. Feature zake naona zipo complecated as compared to Adobe photoshop
Kama unachora na hufanyi manipulation tafuta software za kuchorea na tablet yoyote yenye kalamu nzuri. Zipo pia Tablet ambazo unaweza tumia pamoja na pc.Hii GIMP nimeinstall kwenye PC yangu lakini nimeshindwa kabisa kuitumia kuchora picha. Feature zake naona zipo complecated as compared to Adobe photoshop
Umetengeneza wewe hizi picha?GIMP inanipa urahisi katika kutengeneza Chapa 'Logo' na Kubuni mavazi.
Ndiyo! Natengeneza mimi.Umetengeneza wewe hizi picha?
Kazi nzuri mkuuNdiyo! Natengeneza mimi.
Bravo! Hizi ni chache tu katika drives zangu.Kazi nzuri mkuu
Daaaah ugua pole mkuuMfuasi wa Coreldraw kindakindaki hapa😀
Impressive!GIMP inayo nguvu sawa na AI 'Refine' inayoweza kusaidia na kukuwekea ubunifu kama toleo la awali.
Thanks, KaliImpressive!
Bravo..!
Pole ya nini boss.Daaaah ugua pole mkuu