elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
Sawa sawa mkuu!!! Je unaezakua ma links wanazoeza toa material ya c??
nimekupata mkuu!!! lakini kuanza c sharp haitaitaji knowledge ya c na c++?? naomba mchango wako!!!
Nenda www.cprogrammingexpert.com pia nakushauri utafute developer c++ hii ni software itakusaidia coding katika c na c++ ni compiler, au waweza tumia netbin pia. All the best
nimekupata mkuu!!! kwani ningekua nimeanza programming before hii isingenifaa?? kwa nini??go for Python kama hujawahi jifunza lugha yeyote. kama una moyo wa simba nenda na C++ kabisa. kuna kakipande nilikaandika kule hosanna ht forums ila natumia mobile siwezi weka link. ina ushauri wa kuanzia. unaweza ku google au mwingine anaweza bandika link.
Just for fun mkuu!!! Hilo ndio lengo kuu...ajira au kujiajiri baadae japo ni malengo pia!
nimekupata mkuu!!! kwani ningekua nimeanza programming before hii isingenifaa?? kwa nini??
Python is object oriented language with ability of to run as procedural language.anza na python kama ni structured programming then uende na java kama ni object oriented, python ni rahisi
am not kidding and that a reason i came here to seek some a,b,c's about this stuff!!! infact i really appreciate your suggestions!! so can you please give some clues?? knowing that i chose c and there after i will be dealing with either c plus or sharp!!turbo c? conio.h? kidding?
am not kidding and that a reason i came here to seek some a,b,c's about this stuff!!! infact i really appreciate your suggestions!! so can you please give some clues?? knowing that i chose c and there after i will be dealing with either c plus or sharp!!
nimekupata mkuu!!! na nnashkuru pia,... acha nianze ifanyia kazi then ntaleta feedback!!!Mkuu we komaa najua kuna ambao watakushangaa sana wanasahau kwamba hata mtoto uanza kuhesabu 1 mpaka 10 ambayo itakuja mfanya awe bingwa wa ku multiply, kuzidisha, kugawa, logarithm na hesabu kwa ujumla in future.
Just go, uimechagua c nakushauri go for c ukianza c++ it will be so easy lakini ningekushauri unge tumia dev c++ badala ya turbo.
habari wana jamii!!
Ni muda sana nimekua navutiwa sana na haya maswala ya PROGRAMMING, na natamani sana kujifunza nami niwe programmer!!! kwa sasa nnajua kidogo sana kuhusu programming na juzi nimeanza jifunza HTML(Sielewi maana watu wanadai sio programming language).
Kwa kifupi sina programming language nnayoijua zaidi HTML ambayo nimeianza juzi!! je kama beginer ni programming language nianze nayo??...na je niendelee na hii HTML???
Nahitaji mawazo yenu wakuu!!!
Mkuu we komaa najua kuna ambao watakushangaa sana wanasahau kwamba hata mtoto uanza kuhesabu 1 mpaka 10 ambayo itakuja mfanya awe bingwa wa ku multiply, kuzidisha, kugawa, logarithm na hesabu kwa ujumla in future.
Just go, uimechagua c nakushauri go for c ukianza c++ it will be so easy lakini ningekushauri unge tumia dev c++ badala ya turbo.